Msaada kupata betri ya laptop aina ACER

James Mwidoro

Member
Aug 22, 2016
70
125
Wakuu nina shida ya betri ya aspire 5732z, kwa mwenye kujua duka napoweza pata kati ya Mwanza, Dodoma, Tabora ama Kigoma naomba anielekeze maana ndio mikoa karibia muda mwingi nakuwepo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom