Habarini wadau.
Nina ndugu yangu wakike yaan ni mtoto wa shagazi yangu upande wa mama, amemaliza Diploma siku chache hapa sasa amekuja kwetu kutusalimu kipindi hichi cha sikukuu
Sasa kadri sku zinavyozidi kwenda naona signs kibao tu coz mi mwenyw mzoefu sometimes ananifata mpaka chumban kwangu...
Habarini
Kuna rafiki yangu knishauri kuchukua hiyo coz sasa niliitaji kuifahamu vizuri kama inaweza kunisaidia hapo baadae hivyo basi mwenye uzoefu au ambaye anaifaham hii coz anishauri!
Nilitaka kusoma MD lakini sikua na credit za kupata but kwwnye pharmacy ziko poa.
Naombeni ushauri wenu...
Habarini wa na JF
kama nilivyoeleza hapo juu nina hilo tatizo takriban mwaka wa 5 sasa hua linanitokea mara nyingi nikiwa niko kweny tension ya kufanya kitu flan au nikiwa bussy ndo mara nyingi linatokea... Sasa nimejaribu kufatilia mitandaoni lkn sijapata solution ya kueleweka coz hii hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.