chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
SawaUlipo Moyo wako ndipo Ilipo hazina yako wasome wanacho penda
SawaUlipo Moyo wako ndipo Ilipo hazina yako wasome wanacho penda
We Jmaa acha uongo ....Kama hamjui vitu x bola kukaa kimya kuliko kukatisha mtu tamaa......uwezekano wa kusoma upooo tena mkubwa ukitaji ni PM...
Uongo gani tena labda Community HealthWe Jmaa acha uongo ....Kama hamjui vitu x bola kukaa kimya kuliko kukatisha mtu tamaa......uwezekano wa kusoma upooo tena mkubwa ukitaji ni PM...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza pata. guide book inaset minimum hiyo, lakini vyuo vinaongeza kuwa lazima uwe na CCC kwenye chem, biol and pysics.Kwa olevel mkuu
Oooh Sawa MkuuUnaweza pata. guide book inaset minimum hiyo, lakini vyuo vinaongeza kuwa lazima uwe na CCC kwenye chem, biol and pysics.
Kuna chuo kinaitwa City collage kipo dar na kimesajiliwa na nacte...
Sawa mkuuKuna chuo kinaitwa City collage kipo dar na kimesajiliwa na nacte...
ingia kwenye website yao chukua contact wapigie ....nahisi utaelewa na autabishana tena......au ni Pm nikupe maelezo vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo makozi kwa sasa hayaajiriki tena, kuna maelfu kwa maelfu ya hao wahitimu wamejaa mtaani bila ajira wakiwa busy na mabahasha ya vyeti vya hizo kozi wakisaka ajira.Mnangaika nyie vijana na macourse magumu ayo ajira zenyewe akuna kasomeni bcom tuu co lazima ayo macourse ya afya kwanza gharama...someni hata account,procurement,business administration mbn kazi zake zipo nyingi sana afu pia co kozi ngumu shuleni mishahara yake kazini mikubw kuliko awo watu wa afya afu pia mishemishe kibao za pesa 50k,au 30k per day mtu ukosi me nashangaa mnangaika na iyo micourse ya afya...