Ni rafiki yangu wa damu kabisa alikutana na tuseme mama mana ndio rika lake japo ni mdogo kwa huyu bi mkubwa akaishi nae sasa inaenda mwaka rafiki yangu ananipa story huyu mama alipokutana nae alimwambia ana watoto wawili pekee jamaa kaamua kutulia nae siku zikaenda jamaa anashangaa kwan shamba...
Haswa kwa wanaume nataka kujua unatakiwa kujiolea au kuoa ukiwa na MALI au umri wako ukitimia , nikisema mali i mean uwe na gari nyumba pesa yani siku ukiwa nazo ndio uoe kuna shida hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.