WAUME SABA JAMANI NIMESHANGAA HUYU WA NANE AMEGUNDULIKA!!!!!

Tid mtt

Member
Mar 3, 2019
11
6
Ni rafiki yangu wa damu kabisa alikutana na tuseme mama mana ndio rika lake japo ni mdogo kwa huyu bi mkubwa akaishi nae sasa inaenda mwaka rafiki yangu ananipa story huyu mama alipokutana nae alimwambia ana watoto wawili pekee jamaa kaamua kutulia nae siku zikaenda jamaa anashangaa kwan shamba halitoi mazao kumbe bi mkubwa akipata ball anatoa

Sasa mtoto wake mkubwa akafika nyumbani kuona mamake kaolewa na mwanamume mwingine akaamua kutoboa siri kwamba mama yake ana watoto saba na kila mtoto ana baba yake sasa yeye ni wa nane

Kinachoendelea ni mapigano jamaa anataka mke amweleze ukweli na mtoto aliyekuja ameondoka mana aliachana na mume wake wa ndoa akarudi kwa mama sasa kapata mume mwingine kaondoka
NIMSHAURI NN HUYU RAFIKI YANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie atamtesa mwanamke kwa sababu

Mke atazeeka mapema na jamaa bado kijana,huyo jamaa hawezi akamlea kwa upendo kama mama yake,atamfanya ni mkewe tu na hivyo kumfanya huyo bibi akapata stress kwa kusoma uangalizi wa karibu.

Pia huyo mama ni muongo mkubwa,anamdanganya mumewe mtarajiwa unadhani atashindwa kumdanganya mumewe mtarajiwa?

Kwa hivyo hafai huyo mama ni bora akamuacha tu aende zake.

Mwanamke anafikiaje hatua ya kubishana na mwanaume kwa jambo ambalo yeye mwenyewe mwanamke ndo mkosa?

Aachane nae huyo mwanamke haraka sana.

Alafu hapo anawrza kuangalia kama ataweza kurekebishika au laa..

ukiacha kuchagua umechagua kuacha
 
Yawezekana kabisaa alijua akisema anawatoto saba Jamaa asingeishi naye

Yawezekana kabisa kabisa huyu mama anatabia mbaya ndio maana kila mtoto anababa yake.

Lkn inawezekana kabisa kabisa kua hata huyu Kijana nawewe mtoa mada wote ni matokeo ya Mama kuolewa na mwanamme mwingine baada ya Mumr wake kumkataa.

Nimpongeze huyu mama sababu kazaa !!
 
Ni rafiki yangu wa damu kabisa alikutana na tuseme mama mana ndio rika lake japo ni mdogo kwa huyu bi mkubwa akaishi nae sasa inaenda mwaka rafiki yangu ananipa story huyu mama alipokutana nae alimwambia ana watoto wawili pekee jamaa kaamua kutulia nae siku zikaenda jamaa anashangaa kwan shamba halitoi mazao kumbe bi mkubwa akipata ball anatoa

Sasa mtoto wake mkubwa akafika nyumbani kuona mamake kaolewa na mwanamume mwingine akaamua kutoboa siri kwamba mama yake ana watoto saba na kila mtoto ana baba yake sasa yeye ni wa nane

Kinachoendelea ni mapigano jamaa anataka mke amweleze ukweli na mtoto aliyekuja ameondoka mana aliachana na mume wake wa ndoa akarudi kwa mama sasa kapata mume mwingine kaondoka
NIMSHAURI NN HUYU RAFIKI YANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu najua hii mada inakuhusu wewe, hiyo papuchi endelea nayo tu. Huyo mwanamke mpaka anaamua kukuficha na kuamua kisandwitch baadhi ya watoto kwa ajili yako maana yake anakupenda sana.

Single moms mtupe break. Vituko vimezidi.
 
Huyo mama anatotoa au? mpk usimgundue kuchoka kwa engine yake kweli?
 
Back
Top Bottom