Kati ya mambo yanayoikwamisha nchi yetu ya Tanzania kufikia maendeleo ya kimiundo mbinu pamoja na maendeleo hitajika ni udokozi yaani upigaji wa fedha za umma. Hii imesababisha baadhi ya miundombinu ishindwe kumalizika au kuishia njiani pamoja na hile inayomalizika kuwa chini ya kiwango kwa...
Ni miongo mingi imepita huku nchi ya Tanzania ikishindwa kufanya vizuri kwenye suala la ushindani wa soko la ajira kulinganisha na mataifa mengine ya nje na yale ya jirani katika kuwasilisha “maudhui” yetu kupitia vijana wanaotumia nguvu kubwa katika kupambana na umaskini ili wajikwamue kwenye...
Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la kiupembunzi kupitia visa mafunzo kulingana na masuala ya mikataba suala la kuandaa mikataba liwe na...
Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
Miaka mingi inapita na kila ripoti ya CAG inaposomwa inabainisha kiasi kikubwa cha fedha kinachopotea au kutumika kwa ubadhirifu. Mfano, sehemu ya ripoti ya mwaka 2021/2022 imebaini mianya ya uvujaji wa mapato ambapo bilioni 17 hazikuweka benki.
(Niliyoyashudia eneo langu) katika...
(MFUMO WA KIDOLE GUMBA)
Kidole gumba ni wazo la kuanzisha mfumo wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa njia ya kidigitali na kupiga kura kielektroniki kwa kutumia alama ya kidole gumba. Wazo hili linahitaji ushirikiano wa pande mbili, yaani tume ya Taifa ya uchaguzi NEC pamoja...
“Uzinduzi wa kibao chenye namba za dharura kwa kila kaya.”
Hili ni pendekezo kwa Serikali ianzishe au iruhusu upachikaji wa ubao wenye orodha ya namba za dharura ndani ya nyumba kwa kila kaya lengo kuu la ubao huu ni “kutoa taarifa mapema kwenye mamlaka husika ili kupata msaada wa haraka na...
Ninavyojua kuna katiba ya kuandika na isiyo ya kuandika na hisi hata pia kwenye sheria.
Mfano tukipata rais mzalendo hakatoa tamko kuwa richa ya katiba kutomruhusu kushitakiwa lakini hakifanya jambo la ovyo pasipo maslahi ya nchi ashitakiwe hata kwa kula kiapo kidogo (kudhibitisha kimaandishi)...
U makini kwa ulichokiandika.
Mambo yako matatu uliyoorodhesha
1. Kupinga rushwa
2. Wizi
3. Uchapakazi
Ni miongoni mwa misingi ya kufikia maendeleo.
Na hivi vyote bado vipo kwenye katiba, tunahitaji watu safi wa kusimamia kweli na haki ambavyo bado vipo kwenye katiba iliyopo hata mpya ishuke leo...
NIMEKUA JAPO NI KIDOGO.
Nimefikisha umri wa miaka 27, ninaishangaa akili yangu inayoanza kunirudisha miaka kumi na mitatu 13 nilipokuwa shule ya msingi huku ikiniambia itazame jamii yako.
Nilisoma adithi ya Kisa cha Simba na sungura, Simba alikuwa ni mfalme aliyeamua wazee wote wauwawe...
Kikatiba uko huko sahii.
Lakini lengo hilo kwa sasa si hakisi.
Kwani mitazamo mingi chanya kwa sasa ipo kuimarisha vyama na kuchokonoana kisiasa sio tena kukosoa na kupendekeza ñjia sahii za kufikia maendeleo hitajika.
Kama umuhimu wa vyama vingi ni kula keki ya Taifa.
Basi hakuna haja ya vyama vingi hata kidogo.
Ruzuku yake ianze kupeleka miradi ya kudumu kwenye watu wanaoishi mazingira hatarishi yasiyo na huduma za kijamii hasa vijijini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.