Recent content by Tiba

  1. Tiba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    Amemaliza kazi yake aliyotumwa. Mbona the same principle haitumiki kwa mgombea wa CCM ambaye alipitishwa kwa mlango wa nyuma?
  2. Tiba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video, Musoma kwa kauli moja: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi

    Well said. Kuna haja gani kushiriki uchaguzi ambao chama fulani kinajiamulia kinavyotaka kwa msaada wa tume na polisi.
  3. Tiba

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

    Yule mtoto ni mshenzi kupita kiasi. Reporting zake ziko biased na ni mshirika mzuri wa watesi wa wapenda haki.
  4. Tiba

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Updates on war against TPLF

    Misri ni kati ya nchi zinazowapa support Watigrayi kwa sababu ya Bwawa la kuzalisha umeme ambalo Abiy amelirithi kutoka utawala uliopita
  5. Tiba

    JamiiForums Tanzania KKKT Mashariki na Pwani lawamani kwa kuhamisha hovyo Wachungaji

    Eheeeeee!!!!! Ndio huyo
  6. Tiba

    JamiiForums Tanzania KKKT Mashariki na Pwani lawamani kwa kuhamisha hovyo Wachungaji

    Huyo Malasusa ametokea kuwa kero ingawaje yeye ndiye kiongozi wa Dayosisi. Amefanya madudu mengi ya ovyo lakini inaonekana waumini hatuna ujanja wa kumtupa nje. Nakumbuka mwaka fulani alikataa kusoma waraka wa maaskofu wakati wa Pasaka baada ya kutishwa na Makonda kwamba waraka ukisomwa na...
  7. Tiba

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Tuwekeeni link ya kuangalia mechi kupitia mtandao
  8. Tiba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Aibu. Na bado tunasema tunayo wizara ya michezo na utamaduni. Kazi yao imebaki kuwafungia wasanii tu basi.
  9. Tiba

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

    Alitangaza yeye kwamba amepata chanjo na hakuna aliposema na kaka yake pia alipata chanjo. Tusichanganye mafaili
  10. Tiba

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Ripoti Maalum ya Ukaguzi wa BoT atakayopewa Rais Samia Jumatano haitoogopa Kuwawajibisha walioko Madarakani sasa

    Ije hiyo ripoti tunaisubiri na isifanywe kuwa ni siri. Tiba
  11. Tiba

    JamiiForums Tanzania Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

    Jamani mbona Yanga wanacheza mpira wa ovyo namna hiyo? Wana nini leo?
  12. Tiba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Weka link ya hiyo public address hapa
  13. Tiba

    JamiiForums Tanzania 15 strange cars that really ever made or never thought they exists

    Mbona picha hazionekani?
Back
Top Bottom