Uyoga mwekundu au ganoderma ni aina mojawapo ya uyoga ambao ni mgumu na wenye ladha uchungu umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi na nchi kama vile China kama dawa na kuboresha afya kwa ujumla kutokana na idadi kubwa ya virutubisho vilivyomo katika uyoga huu.
Uyoga huu unaaminika kwa kusaidia...
.
"Huwezi kujiamulia maisha yako ya baadae,
Bali una uwezo mkubwa wa kuamua kubadili tabia zako za sasa, kisha tabia zako ndizo zitakazokuamulia maisha ya ubadae wako".
KIVIPI?
Je, tabia zako zinakusaidia wewe kutimiza malengo ya mafanikio yako?
Je, watu unaoongea nao na kushinda nao kila siku...
-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.
~Ina umbo km yai(oval shape)
~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.
~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)
~Tezi hii...
Ebola ni ugonjwa wa maambukizi ambao kimsingi kabisa ulipatikana kwa wingi nchini Uganda na asili ya ugonjwa huu ni kutokea kwa wanyama hasa maziwa, nyama, au damu.
Dalili zake ni :
~homa(fever)
~maumivu makali ya kichwa tena ya Mara kwa Mara (several headache)
~maumivu ya misuli na mifupa...
Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti
Tatizo hili huweza kumpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.