News Alert: EBOLA VIRUSES DISEASE

Tiba salama

Member
May 20, 2018
28
24
Ebola ni ugonjwa wa maambukizi ambao kimsingi kabisa ulipatikana kwa wingi nchini Uganda na asili ya ugonjwa huu ni kutokea kwa wanyama hasa maziwa, nyama, au damu.
Dalili zake ni :
~homa(fever)
~maumivu makali ya kichwa tena ya Mara kwa Mara (several headache)
~maumivu ya misuli na mifupa
~udhaifu na uchovu wa mwili (weakness)
~kuharisha(diarhea)
~kutapika (vomiting)
~kuishiwa nguvu (fatigue)
~maumivu ya tumbo (stomach pain)
~bawasiri au kutokwa na damu sehemu za Siri tena bila kutegemea. (an explained hermorhooid)
Pia dalili za ugonjwa huu zinawezakuonekana mahali popote kutoka siku 2 hadi 21 baada ya kupata virusi.
Wagonjwa wengi wa ugonjwa huu hua wanakua na dalili zinazofanana ikiwemo mafua (flu) influenza au malaria.
EVD ni ugonjwa wa ajabu na hatari sana na wengi wanakufa wanaoupata ugonjwa huu na hasa wanaochelewa kupata kinga au tiba.
Ili uepukane au utibike na ugonjwa huu unatakiwa uhakikishe kinga yako ya mwili ipo juu (immunity) na ndio mana jamii ya china au bara la Asia hua wanatumia (red mushrooms )uyoga mwekundu ambao ndio una pure garnodema spore na unaenda moja kwa moja kukinga na kutibu.
MAAMBUKIZI
Wanasayansi wengi wameshafanya uchunguzi na kugundua ugonjwa huu kua watu wengi wanaambukizwa kwa njia ya kugusuna, kutumia nyama au maziwa ya wanyama ambao tayari wao ndio wenye virusi vya ugonjwa huu.
Baada ya hapo sasa virusi husambaa kutoka kwa mtu hadi mtu na hapo husambaa na kuathiri namba kubwa ya watu.
Pia virus husambaa kupitia njia ya moja kwa moja ya kupumua, macho, au mdomo au kugusana.

ANGALIZO

Ugonjwa huu kwa sasa upo na umetapakaa sana mipakani mwa nchi na kwa ushauri wa tiba na kinga jitahidi kupata bidhaa yenye garnodema spouts. Ambayo inaitwa PURE&BROKEN pamoja na micro 2.
Huu ni miongoni mwa mgonjwa hatari Sana na ukiupata au kukukuta hua inachukua siku 24 tu kufariki kwako.
Ni bora sasa kupata kinga kabla ya tiba so hakikisha umeipata hiyo bidhaa ambayo itakufanya uwe salama muda woote.

Tiba salama
IMG-20180418-WA0008.jpg
IMG-20180418-WA0033.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom