Recent content by THUON

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa za aina zote, tunapatikana Mwanza / Kanda ya ziwa

    Karibu tukuhudumie Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa, tupo Mwanza

    Karibu tukuhudumie! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa, tupo Mwanza

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa, tupo Mwanza

    Karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa za aina zote, tunapatikana Mwanza / Kanda ya ziwa

    Karibuni sana! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Daraja lakatika kabla ya matumizi kuanza

    Consultant alikuwa wap wakati Contractor anafanya uchakachuaji? Au Structural Design ilikosewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

    Kauli kama hizi maranyingi hutolewa na wanawake waliojikatia tamaa ya maisha, hawana mbele wala nyuma, tumaini pekee alilonalo ni ndoto ya kuolewa na mwanaume mwenye pesa, hii huwapelekea kula kila aina ya dyudyu ya wanaume wenye pesa, na baadae kuchakaa, mwishoni kuna probability ya kumpata...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Mkuu unafikiri hii information uliyonipa inaweza kumsaidia mtu ambaye haelewi chochote kwenye biashara hii kama mm???
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

    Mkuu na mimi nimeipenda hii, naomba muongozo!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Habari yako mkuu, mimi niko interested kufanya biashara ya madini, napenda kujua ni madini gan mzunguko wake ni rahisi? (Upatikanaji na soko)!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?yanauzwaje?soko la nje limekaaje?

    Wakuu na mimi niko interested kufanya biashara ya madini, ila knowledge niliyonayo kuhusu madini, comments zenu zinaonesha mna-experience na biashara ya madini, mpaka sasa sijafanikiwa kupata information za kutosha, kuhusu namna ya kupata mzigo na soko la kuuzia!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

    Okay! Wewe ni mtaalam wa nini?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

    Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu!!, vp hiyo 10% wanaitaka kutoka kwenye project au inatoka mfukoni?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

    Mkuu naelewa lazime iwepo timu ya watu mbalimbali, siwezi kufanya kila kitu peke yangu!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

    Unanishauri nifanye kitu gani mkuu, kulingana na huu mchango wako?
Back
Top Bottom