Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

THUON

Senior Member
Sep 29, 2013
112
58
Heshima kwenu wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kufungua kampuni ya ya ujenzi, nataka kufanya both building & civil works, naomba kufahamishwa juu ya mambo makuu mawili,

1. Challenges za kazi hizi ni zipi hasa?

2. Vipi kuhusu soko la ushindani, hasa kwa mtu anayeanza?

Ahsanteni!
 
CHALLENGES :
1.Ujiandae na 10% kama rushwa kwa bodi za zabuni. (Hii ni kwa taasisi za umma na binafsi isipokuwa kwa watu binafsi).
2.Kucheleweshewa nilipo Baada ya kukabidhi kazi (hasa serikalini hususani Halmashauri).
3.Kuibiwa materials na vifaa vikiwa site.
4.usikubali marekebisho ya kazi nje ya mchoro /makubaliano bila maandishi itakula kwako.
5.Hali ya hewa hususani mvua kwenye kazi za barabara kuna wakati huwa kikwazo .
6.wataongezea wengine
 
Usipo submit performance bond ndani ya siku 28 jiandae na termination letter, mbaya zaidi wanahitaji performance bond guarantee ya benki tu ambayo ni ngumu kuipata, usipotoa 10% ya rushwa utafanyiwa vituko wakilenga kukukomoa tu. Ukweli jiandae kufilisika maana hata ukimaliza kazi malipo yake kuyapata ni mbinde yanachukua zaidi ya miaka miwili na ukizubaa haulipwi kabisa. Jiandae kuugua pressure kwa kudaiwa na ma suppliers pamoja na wafanyakazi baada ya ww kutolipwa mapema na clients, na riba ndio usiseme maana utakopa sehemu milioni 5 lkn mwisho wa siku utarejesha milioni 50 kwa kucheleweshewa malipo makusudi.
 
Nnavyojua kampuni hamna kampuni inafanya building na civil works..its either iwe building au iwe civil works but not both. Pitia web ya CRB!
 
Ahsante mkuu, vipi tenda zinatolea in a fair ground after bidding au ndio mpaka utoe 10%?
 
Mkuu, hapa point yako ni kwamba ni bora niachane na biashara hii kwasababu nitafilisika au vp?
 
Mbaya zaidi mikataba ya Tanzania ipo kwa ajili ya kumlinda client tu, hata ukifungua kesi kushtaki utapotezewa muda mahakamani, kazi za Halmashauri zimejaa fitina na migongano ya kimaslahi.
Acha uongo bwana, tatizo wakandarasi wengi hawajui hata mikataba wanayosign, contract zote zinambeba mkandarasi kwa kiasi kikubwa kasoro FIDIC PINK BOOK. Ukijua sheria za mikataba katika ujenzi hakuna client/employer atakuzingua.
 
Ahsante mkuu, vipi tenda zinatolea in a fair ground after bidding au ndio mpaka utoe 10%?
Tender zipo kibao in fair ila ukijipanga na kujua unachokifanya, ila kama unaingia kwenye fani hii ukiwa magumashi utaishia kupigwa tu na kila siku utakua unatoa rushwa huku ukishindwa kulipa mishahara hata wafanyakazi wako.
 
Nashukuru kwa mchango wako, nimesajili brella tayari, Last week nimechukua form CRB najipanga kufungua class 6 as soon as possible!
 
Nnavyojua kampuni hamna kampuni inafanya building na civil works..its either iwe building au iwe civil works but not both. Pitia web ya CRB!
Wewe ndo upitie web ya CRB.. Kitu ambacho huwezi kuwa na contractor and consultant at the same time...
 
Soko la construction kwa sasa limechacha... Kazi zote anachukua TBA, TEMESA, NHC pia ni contractor... Halmashauri zimeshauriwa kutumia force account kukarabati majengo yao na mashule.. Who knows, TANROADS naye ataingia kwenye game maana vifaa anavyo vya kutosha tuu...

Contractors wengi wako kimya kwa sababu wana kazi mikononi at the moment, but after two or three years wakishakabidhi kazi zako, utasikia kelele zao...

So think deeper before you do that investment.. The game ain't that easy at the moment..
 
CHALLENGES :
1.Ujiandae na 10% kama rushwa kwa bodi za zabuni. (Hii ni kwa taasisi za umma na binafsi isipokuwa kwa watu binafsi).
2.Kucheleweshewa nilipo Baada ya kukabidhi kazi (hasa serikalini hususani Halmashauri).
3.Kuibiwa materials na vifaa vikiwa site.
4.usikubali marekebisho ya kazi nje ya mchoro /makubaliano bila maandishi itakula kwako.
5.Hali ya hewa hususani mvua kwenye kazi za barabara kuna wakati huwa kikwazo .
6.wataongezea wengine

Kampuni za kizalendo huchelewesha kukabidhi kazi kwa wakati sababu ya uongo/unafsi n ukata wa pesa kwa makampani ya kizalendo
 
Soko la construction kwa sasa limechacha... Kazi zote anachukua TBA, TEMESA, NHC pia ni contractor... Halmashauri zimeshauriwa kutumia force account kukarabati majengo yao na mashule.. Who knows, TANROADS naye ataingia kwenye game maana vifaa anavyo vya kutosha tuu...

Contractors wengi wako kimya kwa sababu wana kazi mikononi at the moment, but after two or three years wakishakabidhi kazi zako, utasikia kelele zao...

So think deeper before you do that investment.. The game ain't that easy at the moment..
Nimekuelewa, Me nafikiri TBA na NHC wanafanya project za buildings tu, mostly wanafanya zile project kubwa kubwa,hii nafikiri ita-affect kampuni kubwa kwa kiasi kikubwa, sijui, Labda na wao watacompete kupata project ndogo ndogo, Civil projects bado zinafanyika kwa mfumo uliozoeleka, hata kama Tanroads watakuja nafikiri watafanya kazi za highways, me nataka nianze na class 6 mkuu, nafikiri project za huku ni za kawaida!
 
Ondoa ubinafsi kwa kuwapa watu nafasi baadhiya kazi wazifanye uli kuleta ufanisi ,mfano mzr ni Kampuni za kigeni
 
Mkuu naelewa lazime iwepo timu ya watu mbalimbali, siwezi kufanya kila kitu peke yangu!
 
Back
Top Bottom