Recent content by thundercat8

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

    Wamezaliwa na umeme probably
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuwa mraibu wa kujichua, sasa najuta, nimekuwa "hanithi"

    Jidanganye
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kibati cha chasis number za gari

    Chasis ya gari imegongwa kwenye chasis yaani "chasis namba" ambayo haifutiki, kama una kadi ya gari inasoma hizo namba pamoja na engine namba wahofia nn lakini jitahidi urudishie unless lamchongo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Unadhani mtaji wa 100m kwa Tanzania DSE unakuweka kwenye percentile gani definitely kwenye top 10% in my opinion
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    We jamaa unazingua ati vimtaji vya 100m 😂
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Hii kitu hata stock exchange kubwa za duniani ipo inaitwa speculation na haiepukiki hata leo hii makampuni kama apple yapo overvalued kwa sababu kama hizi. Ki msingi hoja ya mtoa mada yahusu huduma mbovu za brokers, kwa upande wangu naona wanashindwa ku catch up na matumizi ya technology ndo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waislamu nijibuni haya maswali

    Sasa hata kiarabu hakipandi watajibuje hizo deep hoja zako mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    Vyama vya siri (cults) wala nyama za watu zipo kila mahali duniani nashangaa kama wachawi wa mtaani wanakula nyama za watu ni kipi kigumu kwa matajiri?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    Hizi habari za Hilary Clinton nilianza kuzisikia zamani sana enzi Obama ndio president, alooo dunia ina mambo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukishindwa kumiliki mjengo kama huu basi wakuchape viboko wakuue.

    Matumizi mabaya ya neno mjengo.
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

    Superbug.! Wewe ni mende, mchwa, nyuki au glitch ya kompyuta?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

    We jamaa upo unprofessional hata kama mtu alikua ana interest na hizo nyumba kufanya biashara nawewe lazima asite, huwezi tukana watu alafu hapo hapo wengine unataka wakuungishe, jifunze kutulia when provoked.
Back
Top Bottom