Recent content by thumunii

  1. T

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    sasa hivi natumia utambulisho huu wa zamani ( thumunii) badala ya ile ya sumni. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    viatu soko la mchikichini nguo soko la ilala ila uwahi mapema sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Natafuta rafiki wa kike

    Upo vipi mwonekano wako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

    Kuna mafundisho yoyote yanayo wataka waumini wa kikristo wavae majoho punguzeni chuki za kidini Hivi mnaishi vipi na majirani zenu waislam Munapandikizwa chuki badala ya upendo Hayo ni mafundisho ya kibinaadam Hakuna mungu anaefundisha kuchukia wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Hakuna wa kumtetea Assad, si serikalini si upinzani...

    Ndiyo tatizo la wapinzani Wanafikiri ukiwa mpinzani Basi lazima kazi yako ni kupinga kila kitu Na ukiwa ccm lazima kazi yako iwe kuunga mkono kila kitu Binafsi sijaona aliposema yeye sasa amehama ccm Bali kama unamwelewa vizuri faizafox Kazi yake kusimamia ukweli Ikiwa ni nyeusi hata kwa ccm...
  6. T

    Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

    Kwa jinsi watu wengi wanavyo kufuatilia Na hiyo ni kutokana uwezo wako wa kupambanua mambo Ushauri wangu ungejikita kwenye kuelimisha na kujibu hoja za msingi Sio kila anaekubwekea unamjibu Kiukweli we una nafasi kubwa sana hapa jamiiforums Zipuuzie hoja kila anaekuchokoza nje ya mada Mwisho...
  7. T

    Zitto adai Serikali imekopa kisiri siri pesa za kujenga mradi wa umeme wa mto Rufiji au Stiglers Gorge

    Binafsi ningependa nifafanuliwe Wale wanaoshupalia kwa nini amekopa kwa siri ? Kwani akikopa kwa uwazi sisi wananchi tunapata nafuu gani Au nini tofauti kwa mwananchi serikali inapokopa kwa siri au kwsa uwazi Maana isije kua wengi wanatanguliza ushabiki wa kisiasa hata katika mambo ya maendeleo...
Back
Top Bottom