Recent content by Thomas Odera

  1. Thomas Odera

    Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Taarifa iliyotumwa na Mkuu wa shule aliyosomea ni kwamba huyo binti amedanganya, Mkuu wa shule ameweka viambatanisho. Jina halisi ni Sifaeli Tawel na siyo Sifika Daniel. Namba yake ya mtihani ni 0850/0135 na siyo 0850/0136. Huyu alidanganya na hilo suala limeshatatuliwa. Huyu binti alipata div. 0
  2. Thomas Odera

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Kwa kweli hata mimi nimesoma huku machozi yananitoka tu. Mungu ni mwema na kila wakati tusichoke kumtegemea
  3. Thomas Odera

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Pole sana kamanda ,cha muhimu fanya mazoezi na kusikiliza kila Madr. wataamua. Mimi mwenyewe hapa nilipo bado mkono wangu wa kulia haujanyooka na siwezi kunyanyua kitu, maana nilipata ajali mwezi wa saba,2023. Lakini mimi nilivunjika mfupa moja tu, nikawekewa chuma, naendelea kufanya mazoezi...
  4. Thomas Odera

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Mimi mwenyewe nilivunjika mkono wa kulia mwezi Julai,2023. Na nilianza kuandika kwa mkono wa kushoto ingawa ni ngumu sana. Kwa hiyo kuumia kuvunjika mkono wa kulia hakukuzuia kutumia simu kuandika.
  5. Thomas Odera

    Mchungaji na Nabii Boniface Victor " Watu wa Dar Uzeni Nyumba na Mali Zenu Kabla ya Mwezi wa 4,Gharika Inakuja"

    Kwa hiyo kama nyumba iko Dar,na watu wote wanatakiwa kuhama, hiyo nyumba unamwuzia nani? Huyu. Nabii abilities upya namna ya kupata pesa. Pia TMA walisema kutakiwa na Elnino,kwa hiyo watu watu wanajua hilo,siyo jambo la kutabiriwa na nabii
  6. Thomas Odera

    Kwanini wagonjwa wengi wa pressure hupoteza maisha ghafla bafuni

    Hili somo nimelielewa vizuri sana,ahsante sana
  7. Thomas Odera

    Ukweli kuhusu TPA kutangaza tenda ya kuendesha Gati No. 8-11 Bandarini

    Mimi nilipoona hilo tangazo kabla sijaona huu uzi, nilihisi hii ni danganya toto.
  8. Thomas Odera

    Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Katiba nyingi za nchi za Afrika, mambo mengi huwa hayawekwi wazi. Kwa hiyo kiongozi akienda kinyume ni vigumu sana kumhoji.
  9. Thomas Odera

    Sri Lanka: Wafanyakazi wagoma kushinikiza Rais Gotabaya Rajapaksa kujiuzulu

    Sijui kwa nini mtu akikaa sana madaraka hatoki mpaka kwa maandamano au mtutu wa bunduki? Ila huyu rais ni kiboko ,yaani mtu na nduguye ndiyo wanakula keki na kulamba asali ya Taifa.
  10. Thomas Odera

    SoC01 Changamoto za Malezi ya Watoto na sababu za wababa kufa mapema. Je, wamama wanahusika?

    Ahsante kwa makala hii, ni ndefu lakini nimesoma yote, baadhi ya uliyoyaandika huwa nafanya ,lakini nimepata elimu zaidi. NATAMANI NINGEIPATA KWENYE EMAIL AU WHATSAPP YANGU
  11. Thomas Odera

    Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Kwa maoni yangu naunga mkono hoja ya waliosema afanye mtihani wa form four ili apate hicho cheti.
  12. Thomas Odera

    Kijana anayesadikiwa kusafiri kwa njia haramu afariki, mwili wake wakutwa kwenye tairi ya ndege

    Pole kwa familia yake, huwa najiuliza pale uwanja wa ndege hata lotion ikizidi mg 100, huwezi ingia nayo, je,MTU anaingiaje bila boarding pass
  13. Thomas Odera

    Motorola kuirudisha Razr, je itafanikiwa sokoni?

    Uwezo wa betri ni mdogo sana, itatusumbua kuchaji kila wakati, lakini mambo mengi naona iko vizuri
  14. Thomas Odera

    Car that had the bodies of Mariam Kighendi and her daughter has finally been retrieved

    Kwa kweli wamefanya juhudi kubwa sana kuweza kutoa hiyo gari toka kina cha mita 58
Back
Top Bottom