Ccm ni chama cha mafisadi wao wanadhani wananchi wameshasahau wamekalia tu kumsema lowasa kuwa ni fisadi wananchi hatujasahau escrow, rada, meremeta, mswada wa gas, mabehewa mabovu hukumu yao tar 25 oct
Sababu ya kuendelea kuichagua ccm hazipo kabisa hususani wafanyakazi kada ya elimu ,mshahara anaolipwa mwalimu kwa mwezi ni afadhali ya mfanyabiashara aliyejiajiri mwenyewe anakipato kizuri kumzidi huyu mwl
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.