Hofu yatanda CCM, kilio cha mabadiliko chavuma kwa kasi

youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,491
500
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja.

Wananchi wameonekana kuwa makini na hawayumbishwi kwa aina yoyote ile katika uchaguzi wa mwaka huu 2015, pamoja na vishawishi vya hapa na pale ikiwepo matumizi ya wasanii kama kivutio kwa wananchi, lakini neno "MABADILIKO" limeonekana kuwaingia watanzania.

Mipango ya Ccm imetoa matokeo hasi ikiwa ni pamoja na kuingia gharama zisizokuwa na faida, Watanzania wameidhihiria ccm nia yao kuwa wamedhamiria kufanya mabadiliko.

KILA LA KHERI WAPIGA KURA.
 
Kumbe serikali ya Tanzania ina hela hivo!!! Lakini hospitals hazina madawa, mgao wa umeme ambao hauna kikomo na huku tunaambiwa serikali ya pombe itakuwa ya viwanda. Sasa nashindwa kuelewa, hivyo viwanda vitaendeshwa na nini? Au ni Jua. Shangae diamond wanalipwa mihela kibao kwa dakika, mihela ambayo ingepunguza deni la walimu.
 
viongozi wa chama tawala na wagombea wao wote wanamatatizo.
 
Back
Top Bottom