Recent content by Thobias Suluth

  1. T

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Amii forum= Jamii forum ......SNmusic
  2. T

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' <b>Labelling Theory</b> ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Wakati mwingine matukio yakienda sambamba huweza kutengeneza uhusiano
  4. T

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Diamond ndo msanii wa ajabu kama domo lake
  5. T

    JamiiForums Tanzania Gari zinazotumia maji ya bahari badala ya diesel kuwaangamiza waarabu!

    Tatizo bundle bie chee
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Magufuli "Katibu kiongozi kama Sefue"

    Watu wanaoweza kuongoza nchi ni "Arts tu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 10 bora za kuwasindikiza mnapokuwa faraghani

    Kama kawaida nikiwa napiga vinu ni mwendo wa Singeli mixer boofer mpaka misumari inaitika. "Nauliza utatoa hutoi........"
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 10 bora za kuwasindikiza mnapokuwa faraghani

    Hapo ndo utagundua kuanzia mtu wa kwanza kuumbwa ambaye aliponzwa na mwanamke hadi wewe mwanamke uliyedanganywa na nyoka wote hamna akili.....eti unawaonea aibu wanaoweza kusikia sauti tu badala ya kumuonea aibu huyo anayetolea macho namna gan!!!!!?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni ya kumsaka Roma nchi nzima kila sehemu

    Tatizo wasanii wa bongo na wabongo walio wengi wanachukulia mitandao ndo kama sehemu ya haki. Msanii anapost anavyo-feel tukio.....halafu?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni ya kumsaka Roma nchi nzima kila sehemu

    Hivyo ni vitu vya kufikirika tu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Diamond haji kuandika mashairi kama haya tena

    Uzuri wa nyimbo mdundo, ukitaka kuamini sikiliza upumbavu wa Billnas ndo utaelewa kuwa beat ina nguvu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Diamond haji kuandika mashairi kama haya tena

    Hapa TZ muziki unaharibiwa na Clouds, THT, WCB na wale kina babu nani sijui....
Back
Top Bottom