Recent content by ThisIsIt

  1. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi (speed limit) "ilikuwa" mradi wa kundi dogo la watu (CCM)

    Siku hizi madereva wanatumia radar detector, ile bar ikianza kujaa kuonesha tochi ipo karibu ndio wanapunguza mwendo..radar nazo zimekua majanga
  2. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Ndugu yangu hakwenda
  3. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Asante mkuu
  4. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Asante sana
  5. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
  6. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Sekretarieti ya Ajira kesho tunatimiza miezi minne(4 months) tangu mmetangaza nafasi za kazi za TPDC...mjitahidi kuchangamka kidogo. Au muwe mnatangaza when you are ready
  7. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Chadema na ACT Waungana na Wananchi Kumlaki Rais Samia Mkoani Lindi

    Wabongo bwana😂😂
  8. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Na huyo dogo inawezekana amepotezwa pia..mtoto wa marehemu na mume wake wachunguzwe
  9. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Asante mkuu
  10. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Kuna duka la viatu huku Dar pale Posta Mpya..wanauza viatu kampuni ya Catapiler liko pembeni ya NMB BANK..nenda pale na iko kiatu utapewa dawa ya kuoshea na kung'arishia pamoja na brush ya kuoshea hiyo SUEDE SHOE
  11. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Sizijui wala sijui chochote kuhusu petroleum, yes ni za tpdc
  12. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    meck pro Hizo hapo
  13. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Mkuu samahank kama jibu langu limekukwaza..nimefanya sana hizi interview na practical pia nimefanya..sijawahi kukutana na chochote kutoka kwny zile job descriptions kwa upande wa ICT labda kada nyingine
  14. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Mkuu job description kwenye written hazifanyi kazi..sisi watu wa ICT hata oral hauulizwi job description ni maswali tofauti kabisa
  15. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo naomba aniambie nisome mambo gani hasa ili nijiandae vizuri. Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏🏽
Back
Top Bottom