Recent content by thisisboman1

  1. thisisboman1

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  2. thisisboman1

    Mapenzi kizungumkuti

    Hili pia kwangu limechukua nafasi kubwa sana kuuwa mahusiano kwangu mana kila ninapo bahatika ni ustadhati ubaya zaidi kila ninaye mpata inakuwa ngumu kwake kuingia ukristo.
  3. thisisboman1

    Mapenzi kizungumkuti

    Nimeelewa hili nalo tatizo.
  4. thisisboman1

    Mapenzi kizungumkuti

    1.Kupenda usipo pendwa. 2.Swala la dini. 3.Tabia. 4.Uvumilivu na swala la maamuzi. 5.Wazazi kuto ridhia. 6.Ushauri, maoni na maneno ya watu wanao kuzunguka na mapokeo yake. 7.Uaminifu. KIPI KWAKO HUZOROTESHA MAHUSIANO. "MWANAMKE KUWA MGUMU KUBADILI DINI CHANGAMOTO ZIPI UNADHANI ANAZIPITIA"
  5. thisisboman1

    Vyuo vya kilimo mbeya.

    Wana Jamii forum wenzangu naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa kuhusu vyuo vya kilimo vilivyopo mkoani mbeya anidadavulie na kuviorodhesha ili niweze kuvijuwa.
Back
Top Bottom