Recent content by this time tomorow

  1. T

    JamiiForums Tanzania CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

    sijua watu wa sisi em mnapata wapi kiburi cha kusema maji mmeyaleta nyie!!! kiukweli maji yanayotumiwa na watu wa ukonga kwa aslimia 85 yanspatikana kwa watu binafsi waliochimba visima vyao hakuna mkono wa rais mbuge wala diwani.......sasa wewe unaye unganisha maji la chama chako hauna hata...
  2. T

    JamiiForums Tanzania CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

    hii ni kweli kabisa mkuu,sasa kuna diwani mwingine wa jimbo hilo kata ya kipawa yaani nivichekesho tangia apate udiwani nadhani aliamia kijijini kwao anatokea kwenye kata yake kuchukua posho za vikao
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitapata wapi viagra ini boost?

    Kila jamambo na wakati wake jamani ulikuwa na 5 per nit sasa ivi tatu ...... natabiri kadili siku zinavyozidi kwenda mbele utajikuta una uwezo wa 0.5 per nit.shukuru Mungu ulianza ukiwa juu yaani tano wnzio wanaanza hata hiyo 1 inakuwaga issue. Alafu tano za kuku ama? kama ni za kuku mwambie...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwana ume 42 NA Mwanamke 49 wanataka kuoana

    nawatakia masiha mema ya ndoa,na nashukuru kwa taarifa ingawa siwafahamu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    naona mshindi nimekuwa mimi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo hayapunzwi bali bali mawazo uongezeka tena yanatakiwa yawe mazuri
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kizaramo na mafiga matatu, dhana iliyopotoshwa na wahuni

    kama kweli hii ndo maana kamili ya mafiga matatu basi umetufungua tulio wengi.
Back
Top Bottom