Huna timu ya kucheza hata robo fainali. Una timu ya kuwasumbua JKT.
Wachezaji wote Yanga,Simba,Azam ,Singida BS ni wa viwango vya kati. Hakuna ubora wa kucheza nusu au fainali.
Simba amecheza hizo robo sababu ya jina alilolitengeneza,ndio maana hasogei ziadi ya hapo sababu hana quality ya nusu...
Alitoroka kambini kwa timu ambayo ilishamtambulisha kwa mfumo wa Fifa. Atacheza kwa macho hadi mkopo wake uishe msimu huu wa 2026/27
Simba wameshikilia hapo hapo.
Yanga walikurupuka. Yanga wanafanya mambo kwa kukomoa. Yanga ina washambuliaji 5 uliona wapi tangu dunia imeumbwa.
Mchezaji...
Tafadhali sikilizeni hii.
Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote.
Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana.
Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
Mmeanza kutoa bahasha kwa hawa jamaa wenye elimu ya madrasa wasio na elimu ya kuchanganyia kuingiza udini.LITAFELI
Sasa hivi mmekuja na la watu kupewa hela. Ujinga..LITAFELI PIA
NB: Mnajitoa fahamu kwamba waandamanaji hawana madai youote. Huu ni utoto!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.