Recent content by third eye chakra

  1. third eye chakra

    Shuka kutoka kwenye wingu la “upendo na mwanga”

    umeandika mambo mazito mno mno sana hii level nikubwa zaidi watoto hawawezi kukuelewa kabisa.
  2. third eye chakra

    Na wewe umechanganyikiwa au tusikilizie kidogo..?

    maisha magumu nikitu hakipo ndugu bali illusion tuu,
  3. third eye chakra

    Aisee siku zinavyozidi kwenda ndipo watu wanazidi "ku-work for less and less"

    nimeskitika sana binaadamu hapaswi kuishi maisha yanamna hiyo kwani yeye ndio alfa na omega.
  4. third eye chakra

    Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    asante kwamaada nzuri kiongozi. kuhusu karma nadhani utakua umepewa tafsiri isio sahihi na mwalimu wako au mtandao ulio jifunza. karma is real nainafanya kazi kwakila mtu.
  5. third eye chakra

    Dar es salaam inachanganya sana

    mpaka unakua mwisho wa jengo hilohilo.. nandio mwanzo wa jengo jingine tena. yaaani kuchanganyana tuu ata me sielewi..
  6. third eye chakra

    Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    juhudi zako najitihada naziona kwanguvu sana.nikupe hongera kwakuendelea kua ajent wakuendeleza kupotosha watu.
  7. third eye chakra

    Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    watu huangamia kwakukosa maarifa hivi unadhani shetani nikiumbe wapicha uliofunzwa.
  8. third eye chakra

    Rafiki yangu kamususa mke

    naa amuleke yoza kumwicha.
  9. third eye chakra

    RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

    nimepata machungu sana kiasi chakushindwa kuandika
  10. third eye chakra

    𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘂𝘀𝗶𝘆𝗼𝘆𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗧𝗘𝗖𝗡𝗢 𝗦𝗣𝗔𝗥𝗞 𝟰𝟬 𝗣𝗥𝗢

    napendaga sana maada zako mpendwa. zinatufungulia jicho la3 nakutupa picha yakesho yetu isio kua nashaka yoyote. yajayo yanafurahisha saaana.
  11. third eye chakra

    Wanaosema Vitabu vya Injili vina makosa/vinapingana — kwanini wanatumia muda mwingi kuvisoma?

    asante kwamaada yako namimi nachangia hivi.. unacho kiona chakazi gani chamfaa mwezako, hivo kila mtu aheshimu cha mwingine. ni aibu kubwa mtu mzima na madevu yake, mmama mzima na miziwa yake kuona hadithi alio ikariri yeye nibora na inachekesha zaidi kuliko ya mwenzake.
  12. third eye chakra

    Napauka mno kipindi hiki, nitumie nini?

    mafuta yakula yanasifiwa sana kuondoa hio hali. jalibu kisha matokeo leta hapa hapa.
Back
Top Bottom