Recent content by Things Fall Apart

  1. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Mi naona ni bora nauli ipande kidogo kuliko hii adha abiria wanayopata kwa sasa.
  2. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Ha haa k Ha haa kivipi mkuu?
  3. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
  4. Things Fall Apart

    HESLB na uzembe wa kujibu mail na kupokea simu

    Hongera sana mkuu kwa kubahatika kuhudumiwa mapema na bwana Badru. Kufika physically ni mojawapo ya wazo nililo nalo. Tatizo ni kwamba nipo mbali (Mkoa). Kwa hiyo unaweza ona ni jinsi gani ilivyo rahisi kwa bodi kunitumia mail ya statement kuliko mimi ("mdaiwa sugu" japo mkataba niliyosaini...
  5. Things Fall Apart

    HESLB na uzembe wa kujibu mail na kupokea simu

    Habari wanajamvi, Leo ninaleta kero hii kuhusu hiki kitu kinachoitwa HESLB, naam namaanisha Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania. Ni majuzi tu mheshimiwa Rais JPM alitengua uteuzi wa bwana mmoja aliyekuwa mkurugenzi mtendaji kwa muda mrefu sana ndugu George Nyatega ili kuhuisha...
  6. Things Fall Apart

    ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Acacia tulieni dawa iingie kwanza. Huyo ndio Magu kama mlikuwa mnamsikia kwenye redio. :D
  7. Things Fall Apart

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Na pia Magu alipokuwa Moshi naskia Meck Sadick aliita viongozi mbalimbali kwenye hafla ili waongee na Rais wao wakiwemo viongozi wa dini, kisiasa n.k. Cha kushangaza viongozi wawili (Mstahiki meya wa Moshi na Mbunge) walipofika getini wakaambiwa na watu wa usalama kuwa "nyinyi hamuhitajiki...
  8. Things Fall Apart

    Makonda: Ukiona tumekuita ujue tumekusoma miaka kumi iliyopita

    Msikilize Askofu Gwajima akitema cheche hapa
  9. Things Fall Apart

    CCM Yateka Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais ACT-Wazalendo

    Kwani hadi mtumie lugha chafu ndio ujumbe unafika? Navojua mimi Jamii Forums tunapambana kwa hoja si kwa lugha za kuudhi. Licha ya kutekwa na hisia za ukada jaribu kuwa mstaarabu kwa lugha unayotumia.
  10. Things Fall Apart

    Lowassa aunda Timu ya watu watano kukabiliana na nguvu ya Magufuli Kanda ya Ziwa

    Teh teh teheee... mtoa mada mwenyewe Hot Lady yule asiyejua kuwa Wikipedia ni tovuti ambayo mtu yeyote anaweza kuandika chochote! :becky:
  11. Things Fall Apart

    Hongera rais Kikwete kusaidia Wakulima kwa fedha za EPA

    Hivi kwani hata Kikwete yumo humu? Na kama hayumo kwa nini hizi pongezi usiende nazo Magogoni ukampatie mwenyewe?
  12. Things Fall Apart

    UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba

    Ha ha haaa tulieni dawa iwaingie hata ukienda kwa daktari huwa anakupa ushauri u-relax ndio kazi yake inakuwa rahisi
  13. Things Fall Apart

    UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba

    Kama vipi dada FaizaFoxy waambieni maboss wenu pale Lumumba waongeze dau manake si unaona mwenyewe inabidi mfanye kazi hadi usiku wa manane? Kama wewe ulivyopost humu usiku wa manane. Sasa buku 7 haitoshi kwa kweli ukizingatia watu mnahatarisha hadi ndoa zenu ilimradi tuu kuokoa jahazi ambalo...
  14. Things Fall Apart

    UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba

    Kwanza uzi wenyewe umechacha tayari
Back
Top Bottom