MICHAEL JOSEPH93
Senior Member
- Aug 1, 2015
- 118
- 5
Hata akirudi nyumbn usingzi hato upata
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?
Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.
Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.
Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.
Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
Kama vipi dada FaizaFoxy waambieni maboss wenu pale Lumumba waongeze dau manake si unaona mwenyewe inabidi mfanye kazi hadi usiku wa manane? Kama wewe ulivyopost humu usiku wa manane. Sasa buku 7 haitoshi kwa kweli ukizingatia watu mnahatarisha hadi ndoa zenu ilimradi tuu kuokoa jahazi ambalo kimsingi limeshazama.Naona yamekuingia vizuri sana na hauna hoja.
Kama vipi dada FaizaFoxy waambieni maboss wenu pale Lumumba waongeze dau manake si unaona mwenyewe inabidi mfanye kazi hadi usiku wa manane? Kama wewe ulivyopost humu usiku wa manane. Sasa buku 7 haitoshi kwa kweli ukizingatia watu mnahatarisha hadi ndoa zenu ilimradi tuu kuokoa jahazi ambalo kimsingi limeshazama.
Mheshimiwa Rais alianguka zaidi ya mara moja kipindi cha kampeni, ni uchu wa madaraka nao au yeye ulikuwa uchovu wa kibinadamu tu!:what::what:
Duh Leo ndio nagundua kumbe hii ID ni ya mtu so jelly minded with an IQ of a millipede!! Pathetic indeed!
Mheshimiwa Rais Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete kamaliza miaka 10 ya kazi adhim na bora kuliko Rais yeyote wa kabla yake, tena kwa takwimu kamili. Mwacheni sasa ale raha zake za kufanya kazi sana kwa nchi hii.
Kikwete ana asili ya uongozi si wa kuukamia. Soma CV yake.
Huyo mgonjwa tuliyemtema, daktari ataempitisha kushika wadhifa wa ujumbe wa nyumba kumi atakuwa ni mgonjwa zaidi ya Lowasa.
Jiulize atapita "drug test" huyo? Maana kawa teja la madawa makali.
Ha ha haaa tulieni dawa iwaingie hata ukienda kwa daktari huwa anakupa ushauri u-relax ndio kazi yake inakuwa rahisiWatu wanakula burdan Jumamosi, wewe umekazania kazi na pressure juu.
Ni mgunduzi wa Kimataifa wewe, inabidi upeleke data zako duniani za ugunduzi wako wa IQ ya jongoo.
Nnauhakika ujinga hukusomeshwa bali ni jadi yako na watakuzawadia tuzo ya IQ ya jongoo kwa ugunduzi wako.
Great: you earn yourself a point to a Centipede grade IQ!!
Kwa mantiki hiyo unakubali kuwa binadamu ni wadhaifu na udhaifu huo huweza kusababishwa na vitu mbali mbali ikiwemo 'uwanga' na swaumu kali!
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?
Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.
Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.
Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.
Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
Katika Thread Pumba hii nayo ni moja wapo... Yaani Lowassa kawapoteza CCM hadi wamemsahahu Mgombea wao anaitwa nani? ni sawa na wale wazee wa village wanafahamu kuwa Nyerere bado ni Raisi ndio na wewe Faiza kutwa unamuwazia Kikwete tu...
Hebu change wewe Sema japo mara moja tu Neno Magufuli maana lishakupotea Masikioni mwako... isije fika siku ya kupiga kura ukatafuta Kikwete na ukikosa unaacha kupiga...
Wacha Kulia lia... Hii thread umeianzisha special kwa Mipasho kama ya mkulu
Na pia pressure ukumbuke ndiyo ilimlaza hospitali Mbowe.
Lowasa on other hand ni gonjwa la ugonjwa wa uteja. Haendi bila madawa na akishayapiga anakuwa kama robot hata povu likimtoka mdomoni halihisi.
Lowasa wa leo si Lowasa yule aliyebwagwa miaka 8 iliyopita kwa kashfa ya Richmond - kumbuka hilo.
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?
Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.
Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.
Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.
Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
Watu wanakula burdan Jumamosi, wewe umekazania kazi na pressure juu.