Recent content by Thifor

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Ntafute 0714610509
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuoa

    Nimekua nikipata wasichana walaghai mara zote,hali ambayo ilinifanya kuwachukia wote. Ila sas nataka msichana ambae anadhamira kama yangu aache namba yake ya simu nami yakutafuteni,sichagui chochote ili mradi uwe una sura ya mvuto tu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha

    Mie ni mwalimu niliehitimu cheti kwa ajili ya shule za msingi,nafundisha masomo yote.pia nursery school nafundisha pia; nipo dar.mawasiliano ni 0716214072
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop hp

    Mwenye laptop mtumba ya hp ambayo ni nzima tuwasiliane kwa 0716214072
  5. T

    JamiiForums Tanzania Laptop hp

    Nahitaji laptop mtumba ya hp nzima,,kama unayo tuwasiliane kwa 0716214072
  6. T

    JamiiForums Tanzania kufundisha

    Nina certificate ya Ualimu,nina utalaamu wa kumfundisha mtu akaelewa balabala. Mkoa wowote nafundisha mawasiliano 0762779059
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha

    Mie ni certificate ya ualimu,natafuta kazi ya kufundisha shule za primary aina zote. Pia nafundisha masomo ya biology,chemistry,geograph kwa form I-II Mkoa wowote naweza kuja; mawasiliano 0762779059
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha primary and medium school; Kama unakazi hiyo ama taarifa yoyote ya uhitaji wa kazi hiyo nijulishe kwa 0762779059
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

    Habari zenu ndugu, Mimi nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi; -Awe mkweli -Rangi yoyote -Kabila lolote -Uchumi wowote -Maziwa madogo -dini yoyote -Sura yenye mvuto _Umri 20-25 _Asiyemgumba/mgumba _Asiye na elimu/mwenye elimu yoyote Nitafute kwa 0716214072
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

    Nimekuelewa vizur xana dada,lakin sura ni muhimu kutambuana sote,najua sio rahis kuitia ndan.Tuwasiliane bas kwa 0716214072
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume,umri 30-36

    Jambo jema dada,sasa cfaham kama takufaa mie maana bado cjajenga hata kbanda,bado nasoma;kama inawezekana bas nambie
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamume

    Me nakuhitaj but nimekoxa sifa moja 2 ya umri,kwan nina 28.je itawezekana?
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachwa na mpenzi

    Jaman naomba ushauri, kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo. Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu. Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane bila sababu, sijui ni kwanin!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu ya Nokia, nina TZS 80,000/=

    Natafuta simu ya nokia yenye wasap+instragram isiyozid elfu 80,kama unayo nijuze
  15. T

    JamiiForums Tanzania Duka la simu used za HP and DELL

    nauza simu uzed
Back
Top Bottom