Recent content by thesonofafrica

  1. T

    DW: Rais Magufuli ni dikteta mpya Afrika? Yauliza kama bado kuna mtu ana ushabiki nae

    Tangu lini vyombo vya habari vya magharibi vikatakia mema nchi za kiafrika.We dont buy their stupidity
  2. T

    TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

    Umetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.
  3. T

    TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

    Pamoja na sifa zote hizo,sijawahi kuona hospitali isiyoheshimu maadili ya tiba kama Burere.Zablon has never bn in any medical school.Lakini anaingia theater na kushona wagonjwa.Hii hospitali tukiamua kuwa serious, ni ya kufunga.
  4. T

    TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

    Hana Phd ya mifupa.Msidanganye watu
  5. T

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Ni kweli ni hotuba zilezile.Lakini inawezekana kwa hao anaokuwa anaongea nao kwao ni mpya.Lakini pia nafikiri serikali yoyote hupenda kuwakumbusha wananchi kila mara yale ambayo inahisi ni mafanikio yake.
  6. T

    Gazeti la Uingereza laimulika serikali ya Magufuli na kusema inaelekea kwenye uimla na kuua upinzani isikosolewe

    Tangu lini gazeti la wazungu likasema wema kuhusu nchi yetu?pumba hizi mimi siwezi kuzila
  7. T

    Gazeti la Uingereza laimulika serikali ya Magufuli na kusema inaelekea kwenye uimla na kuua upinzani isikosolewe

    Huu ujinga pelekeni huko.Rais wetu hawezi kulindwa na Wanyarwanda.Never on this planet
  8. T

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Nafikiri tujifunze kukubali kuwa kila mtu ana mtizamo wake.Diamond katoa mtizamo wake.Inawezekana tusikubaliane kuhusu mahudhui ya wimbo.Ila tunaweza kukubaliana kuhusu umahiri wake wa kutumia fasihi
Back
Top Bottom