Wakuu kupewa honorary doctorate is not an issue....
Ukipewa kwa kumsaidia watu kutatua matatizo ya kijamii na ikawa na potential impact kwenye jamii ...
Bali tusitumie hizo phD kama kudhiirisha ukonga wetu Africa
Kwani shida Iko wapi prof, ivi unazani PhD wote nolazima waingie class Mzee
Zingine ni za heshima mkuu
Usione wivu ila standard lazima ziwekwe bayana siyo Kila mtu anastahili kupewa hiyo heshiama...
Mwandishi kabla ya ku_type mambo kama haya kwenye juu kubwa kama hii inakubidi uwe na Tafiti zakutosha si kuja na fikra fupi namna hii
Fatilia kwa umakini utakuta unakiongea ni non sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsi ya kawaida ya MSOMI ni hali ya kukabiliana na matatizo na kuyachanganua kwa mapana na si, vinginevyo.
kama tukishidwa kujua nadharia hii ni vyema tungepunguza idadi ya Dr na prof,kwa maana ya uhaba wao kulitumia vizuri maarifa waliyo yapata.
Kuleta madhara kwenye jamiii zetu na Taifa kwa...
Kwani, mkuu unatakusemaje kwa mfano....
Yaani unataka tuzidi kukumbatia Tamaduni za kimasikini za kiafrica ili Hali hao watu tumeishi nao na kijifunza Tamaduni zao na wenyewe nao wame adopter some traditional zetu zingine ingawa ni ndogo kulinganisha na zakwao,
Kimsingi afrika tunatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.