Wakuu habari za jioni
Leo bhana nimewasha TV Yangu ya kichogo mara paapu nikaona tbc live Bunge likiendelea, mimi siyo mshabiki wa tbc but Leo nilikuta hiyo Chanel baada ya kuwasha TV sasa sijui ni wife au watoto sijataka kuhoji sana nikaangalia
Wabunge Wengi wanaonesha nia ya kuchukizwa na...
Nyumba ina deni na deni Hilo ni kubwa ,Kwa sababu ukipga hesabu za haraka haraka hyo frem inajitegeme ruku yake so frem ina MDA mrefu haina mpangaji
USHAURI
1. Nenda tanesco ukafahamu deni kamili
2.ukishafamu deni ujue pia kila mwezi makato ya deni total NI TSH?
3.ukimalizana na tanesco rudi...
Ukiitaza picha Kwa makini ,kwanza picha kuna mazingira ya Pandey zote mbili kwamba imepigwa kimkakati au siyo kimkakati
KIMKAKAT
1 ukiiangalia Kwa makini picha namba mbil mazingira yanaonesha ni mjini Je? Kuna mji ambao Hamna umeme
2 .Tsheti aliovaa imeandikwa Tanzania je Kwa nn avae hio...
Mm ni paka au mbwa frani ila Leo nimeamua niseme ,watumishi wote mliopewa nafasi na rais Samia naomben SANA muache dharau lasivyo mtapoteza nafasi zenu ..
Kwa nini nimesema hiv
Mm ni kama paka ninaezurula na kujiokotea mifupa but
Kuna dharau kubwa SANA ipo serikalini ambapo Kwa makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.