Recent content by TheRedKop

  1. TheRedKop

    Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    Uko sahihi mkuu. Crdb Udsm branch wale vijana wako sharp sana.hawana kuremba. Kimei na kina Tuli hana budi kuwapa nafasi waendeshe branch zingine kuambukiza ufanisi. Bibie Khadija namkubali sana. Absalom pia. Benki hii kweli inatusikiliza. Watakua wamesoma Udsm wale. Si bure. Majembee.[emoji106]
  2. TheRedKop

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

    Kaka mzigo upo huu?
  3. TheRedKop

    Cement ya jumla kwa wauzaji, wajenzi na wapiga tofali

    Vunja bei! Wauzaji cement ya nyati,diamond kwa bei ya jumla kokote ulipo ndani ya jiji hili la makamba. Bei 13000! Naukuletea mpaka mlangoni wewe unalipa gharama ya kushusha tu kuanzia mifuko 600 piga simu 0786662994
  4. TheRedKop

    Laini ya m-pesa inauzwa Dodoma.

    mkuu hii unaitoa kwa jina langu au ina jina lako?
  5. TheRedKop

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

    Hati imekwishatolewa?
  6. TheRedKop

    Nauza Kiwanja Dodoma mjini

    Kaka kimepimwa?
  7. TheRedKop

    Natafuta wall covering papers

    Ni wasap 0767101847
  8. TheRedKop

    Kiwanja dodoma

    Mnunuzi ffoj
  9. TheRedKop

    Kiwanja dodoma

    Mnunuaji
  10. TheRedKop

    Kiwanja dodoma

    Kiwanja kinahitajika eneo la kisasa Dodoma barabara kuu iendayo Dar es salaam. Mwenye nacho anijulishe.mimi ni mnunuzi
  11. TheRedKop

    Uza Lumia yako hapa haraka!

    Ebana umepata? Nnayo 925 kwa laki 9 cash! Ni mpya
  12. TheRedKop

    Viwanja vya bei poa dar

    Una mil 2,unataka kiwanja cha mil 1.5,mkuu ndo kusema unataka ubaki na chenchi ya laki 5? Anyway,hela yako sio ndogo,utapata,ila ogopa tapeli. Kwa bei hiyo usishangae kuuziwa kiplefti unaamka asubuhi watu wanakuzunguka tu!
  13. TheRedKop

    Trey za mayai

    Mkuu ni tray tupu au na mayai?
  14. TheRedKop

    Breaking Newzzz!

    Mulugo jnr
  15. TheRedKop

    VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

    Penzi kitovu cha uzembe!
Back
Top Bottom