Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,128
Nimeuliza kinachosababisha hiyo trend haswa ni nini. Kwamba hizo simu ni cheap kupatikana, au ubora wake kimeo, au zinapendwa sana? Nauliza nijue
wengi walionunua wanaziuza mana znaboa
Nimeuliza kinachosababisha hiyo trend haswa ni nini. Kwamba hizo simu ni cheap kupatikana, au ubora wake kimeo, au zinapendwa sana? Nauliza nijue
wengi walionunua wanaziuza mana znaboa
nilikua na lumia 820 windows phone 8 sijaipenda nimerudi androidMkuu umeshatumia Lumia lakini?
wengi walionunua wanaziuza mana znaboa
Wekeni picha