Acha mbwembwe za kishamba kama una degree ni wewe, wengine hawana na hapo anafanya sanaa maisha yaende, kama umekosa kazi bora uchukue jembe ukalime kuliko uharo ulioandika hapo
Muhimu ujumbe umekufikia vyema, hayo mengine ni ziada, apangilie vyema kama yupo kwenye mashindano???
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
nimereport kwa mratibu elimu wa kata. na kwa afisa elimu wa wilaya na imeonekana kuna mchezo haram umechezwa. Jumatano hii ndo tunaenda kujua hatima ya hili suala na mwalimu mkuu atachukuliwa hatua gani
Wakuu habari zenu? Mmeshindaje?
Sasa Wakuu kuna shida kidogo nahitaji ushauri wenu kuna mdogo wangu alikuwa anasoma Arusha shule ya msingi sasa kule kulitokea shida kidogo akaamishwa shule akaletwa Ukerewe.
Wakati anaamishwa alkuwa darasa la sita lakini shuleni alipohamia Mwalimu Mkuu akakataa...
Daaah! Pole sana mzee baba, cha kufanya hapo tumia mbinu yoyote uwezayo yani fanya chochote mtoto awe wa kiume ili apone yani vinginevyo ukimwacha utajutia mbeleni. Fanya halaka kabla hajakuwa zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.