Recent content by Theory of the Deadman

  1. Theory of the Deadman

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Mwaka 2015 niliuza vitu vyangu vyote yan kuanzia asset za ndani pamoja na kiwanja Nilichaguliwa kusoma course ya afya maarufu kama COMMUNITY HEALTH yan uwezi amini had leo tupo mtaani hatjui hatma yetu Na nimepoteza kila kitu nipo mjini dar maana home nikikaa dharau nyingi sn wenzangu wamepiga...
  2. Theory of the Deadman

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Nukuu za Rais Magufuli ''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''. ''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure'' ''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake. Njaa haijaletwa na...
  3. Theory of the Deadman

    TUCHEZE GAME KIDOGO....

    UKIMWI UNAUA WADOGO KWA WAKUBWA
  4. Theory of the Deadman

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Bora wewe unaajira wengine wanasota mwaka wa pili na hakuna matumaini unakuta mtu kasina afya mtaani anasajili line na kuyoa huduma za m pesa
  5. Theory of the Deadman

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Usaliti ndani ya ccm matokeo wametuletea mwendawazimu aongoze nchi kila cku haishi visa
  6. Theory of the Deadman

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho 2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini 3.Serikali...
  7. Theory of the Deadman

    Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria

    Yan watu mtaani wanafanya kazi out of taaluma zao na wanataka watu wawe na uzoefu bindi waajiriwapo hapo naamua kuwa fundi simu kumbe ni mtaalam wa afya
  8. Theory of the Deadman

    USWAZI RAHA TUPU...........

    CHUPI KILEMBA
  9. Theory of the Deadman

    USWAZI RAHA TUPU...........

    Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu ya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni 4. Usiyempenda kaja 5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kaz kupata kaz 7. Ukichezea...
  10. Theory of the Deadman

    Sitamchagua tena Magufuli 2020,

    Hyu rais ni HATARI kwa maslahi ya umma wa tanzania amejaa chuki binafsi
  11. Theory of the Deadman

    Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria

    Sijawahi kuona mtu wa misimamo ya ajabu kama rais wetu ni mtu wa visasi sn na anajiona mungu mtu tutamnyoosha 2020
  12. Theory of the Deadman

    Wanaume tuna moyo mashine, sio kwa kujitolea huku

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  13. Theory of the Deadman

    Wanaume tuna moyo mashine, sio kwa kujitolea huku

    Wengine kavu hyo tumaiweka ziada
Back
Top Bottom