Hakika kura milioni sita pamoja na wabunge takribani 60 ni hatua kubwa katika kujenga ushindani Wa siasa. Ushindi huu Slaa wala Lipumba asingweza kutufikusha hapo. Tutapata wabunge Wa viti maalum na wale Wa Zanzibar bunge Lita improvec
Ndugu zangu mji ni mchafu is kitoto. Ukiacha hapa town kule mitaa ya kanisa la Lutheran hakufai, manzese hakufai na karibu ya nyumba za polisi stendi ya zamani ya mlila yoyo ni balaa tupu.
Taka ziko hovyo hakuna uongozi wowote unaongalia, nimekaa hapa kwa wiki nzima.
Ni kweli kaka Pompo hawa jamaa they are tired. Hata uchafu wamshindwa kuzoa. Nina taarifa kwamba gari za kuzolea taka wanakodsha kubeba tofali na mchanga badala ya kuzoa taka
Uchafu kila kona katikati ya manispaa ya Songea. Hakuna maelezo yanayoeleweka kuhusiana na uchafu huu. Uchafu umekithiri sijawahi ona angalia attachment
Licha ya Mzee kinana na bw Nape kufanya tathmini nchi nzima na kuafiki kuwa CCM ina mawaziri ambao hawana uwezo na ni mzigo kwa chama na serikali yao na kwamba waathiri mwenendo wa chama chao kadri wananchi wanavyoona. Matokeo yake ni kwa kwamba wazee wenye dhamana walioona hiyo si kweli na...
Mbowe ameongoza chama akipokea uongozi toka kwa Mzee Makani mpaka leo
- tunaona ukuaji wa chama,
- usimamizi na uongozi.
- amesimamia vyema kambi rasmi ya upinzani bungeni
- Ameratibu miradi kama. Vile M4C, E- Chadema, Okoa Kusini, kanda ya ziwa, na campaign za hivi karibuni haya yote...
Mbowe ameanza harakati hizi muda mrefu,na nilipata wasiwasi wakati akichukua uenyekiti sababu wakongwe kama wakina Slaa walikuwepo. Lakini sasa anaonyesha Leadership ambayo watanzania wanahitaji,aliamua kwenda shule Uingereza kuhakikisha shule yake iko sawa,na unaweza kuona is tu kwa matamshi...
Mama Tibaijuka akijiuzuru leo itamsaidia sana kuliko kusubiri au kumsubiri Mkuu wake aseme. Na hata akiachwa atakuwa ameua profile yake yote na ile ya UN sijui anagonja nini wakati yuko vizuri. Pls mama mi mwanao mwache Muhongo ang'ang'ngane na hayo madaraka wewe unayajua zaidi
Nimeona wazo zuri toka kwa mwenzetu mmoja. Ni bora kuhakiki fedha zetu kabla hujaondoka kaunta sababu yale ma CCTV yao yatatupa tafu. Halafu hii si BOA tu ni sehemu yeyote tuwe makini na vilivovyo vyetu.
Hizo si Tabia nzuri kwa taasisi za fedha. Mimi ni mteja wanatawi lingine Aggrey sijawahi pata shida pale Aggrey wala hapo Msimbazi. Tujipange tuwafuatilie
Kila mwanachama atakayeshindwa kushawishi mawazo yake atasema hivyo hivyo tunahitaji mbadala wa chama fulani. Nafikili kuna namna tofauti ya utatuzi wa haya mambo fikiria zaidi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.