Theodory Obyang
Member
- Jan 14, 2014
- 14
- 1
Licha ya Mzee kinana na bw Nape kufanya tathmini nchi nzima na kuafiki kuwa CCM ina mawaziri ambao hawana uwezo na ni mzigo kwa chama na serikali yao na kwamba waathiri mwenendo wa chama chao kadri wananchi wanavyoona. Matokeo yake ni kwa kwamba wazee wenye dhamana walioona hiyo si kweli na mawaziri hao wapo hawakuchukua hatua na kuwaona ni watendaji wazuri tu. Sasa mi sishangai escrow tukaelezwa sisi watanzania na walioandika ripoti ndio wenye shida. Am very sure