Naam kwanza niwaombe moderators huu uzi msiunganishe na uzi wa mwanzo kwa sababu nimetumia garama zangu kufanya utafiti kwa miaka 8 nimerudi na majibu sahihi kwa walalamikaji
Maana mimi mwnyewe ni mzee wa kuchaji mstaafu na wakati uzi wa malalamiko unaletwa hapa kwanza niliwashangaa wale vijana...
Hii nchi bwana mmajua Kenya wanatupiga gape sana kwa kuzalisha basi zao za ndani pasipo kutegemea nnje sasa nashangaa hawa ndugu zetu walikuwa na viwanda vya kuunda bodi za magari sijui vilikufa wapi mimi nlitegemea jeshi liwe na mabasi yaliyoundwa hapa hapa tena imara nashangaa wameagiza yutong...
Za chini chini inasemekana bibie nae alikuwa na tabia za umiodo wa tanga yule yule mmbea akapeleka na umbea wa jojo bwama kwa mama ndio maana jojo juzi hapa alitolewa kule juu kijani now yupo mtaani tu wambea wanasema
Hata kwenye page yake ya insta tokea 29 hadi leo kajikausha wambea wanasema...
Magari 150 yana maderva 320 maana bus moja watu wanaingia kwa shift ukichanganya na ajira nyingine za wahasibu,masuperbisor, wasimamzi wa vituo mafundi mradi tu huu aliopewa bwana mofet unaweza ajiri watu 500 hadi 600
Je, kuna mtu alishawahi kusikia huyu bwana katangaza nafasi za wazi ili watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.