Recent content by TheLuckyOne

  1. T

    Hoja: Msajili wa Vyama vya Siasa ana Mamlaka kufanya alichofanya kwa Lipumba na CUF?

    Hii imekaa vizuri kabisa. Msajili ni mamlaka kamili ya kusimamia vyama na kama chama hakifuati sheria ana mamlaka ya kukirekebisha au kukataa maamuzi yaliyo kinyume cha sheria bila kujali sura ya mtu!
  2. T

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Kweli. Waweke clip ya mahojiano ili wasipotoshe kwa kujitafutia kiki!
  3. T

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni muumini wa imani ipi?

    Kama Mungu ndiye aliyeumba mbingu na pia hii dunia, na kama Mungu siyo mmoja basi kila Mungu angekuwa amejiumbia dunia yake na mbingu yake na angekuwa na waumini wake katika dunia yake na mbingu yake.
  4. T

    Lowassa aenda Kagera kuwajulia hali waathirika wa tetemeko!

    Hujatazama taarifa za habari? Mbona jana pole ya Mh. Rais ilishatangazwa, usiwe mpotoshaji!
  5. T

    Magomeni Kota: Rais Magufuli atoa siku 7 kwa wapangaji wote Serikalini wanaodaiwa na NHC walipe

    Acha uvivu wa kufikiri. Serikali haishindwi kufanya vitu vingi kwa mara moja. Ina rasilimali nyingi ikiwemo rasilimali watu. Kwa mazoea ya serikali zilizopita kukosa utekelezaji basi unadhani kila kitu hakiwezekani hiyo siyo kweli na ni mtazamo wako tu hasi. Acha Bulldozer lifanye kazi na ole...
  6. T

    Anguko sasa ni dhahiri

    Kwani hekima ni nini? Inategemea na tafsiri ya kila mtu na mazingira aliyopo. Hekima kwa mwingine siyo lazima iwe hekima kwa kila mtu. Tusidanganyane. Ni mtazamo tu wa kila mtu na kila mtu yuko huru kufikiri atakavyo. Watu wanategemea wanyenyekewe hali wao hawana unyenyekevu wowote. Lazima...
  7. T

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Acha uongo kila mtu anajuaje CUF walishinda wakati kura hazikuhesabiwa zote na tume haikutangaza matokeo? Mtu kujitangazia kuwa ameshinda ndiyo unataka kuaminisha watu kiupotofu kuwa CUF ilishinda? Endelea kuota ndoto bandia ambazo hazitakuja kutimia.
  8. T

    PICHA: Gari la Polisi lenye maandishi "VUNJA UKUTA"

    Mko tayari na nani? Mwaga ya kwako tu.
  9. T

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    kwani bendera ni ya jeshi peke yao? ni bendera ya taifa, hivyo desturi ya kuheshimu bendera yapasa kuwa kwa wananchi wote. Na kuheshimu bendera kunadhihirishwa kwa kufuata itifaki zilizowekwa kwa ajili hiyo na kukubalika katika taifa husika na kwa kufuata misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa...
  10. T

    Serikali yaibwaga CHADEMA katazo la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa

    utaandamana peke yako, labda na watoto wako kama unao!
  11. T

    Benki ya CRDB yakanusha taarifa kuwa imesimamisha mikopo kutokana na hali tete ya uchumi

    Mbona hujaweka ushahidi wa kuonyesha kuwa serikali imelazimisha benki kukanusha? unapotosha kwa kuandika hisia zako binafsi na kutafuta ziwe ukweli kumbe ni uongo mkubwa!
  12. T

    Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

    Lakini si ni yeye mwenyewe aliyesema ataenda kuchunga akishindwa urais? Kwani huko bilicanas ndiyo kuna ng'ombe wa kuchunga?
  13. T

    Rais wa Tanzania anaweza kuacha kuwa Rais kabla ya muhula wake?

    Acheni uongo katiba iko wazi. Acheni uvivu wa kuisoma. Kama ni hivyo marais waliotangulia pia wasingeachia madaraka.
  14. T

    Enyi serikali na DAWASCO, kero ya maji Dar hasa Kimara na Mbezi itaisha lini?

    Tatizo mnyika na kubenea hawafuatilii suala hilo. Wameshikilia kufuatilia mambo ya maandamano tu. Maendeleo kwenye majimbo hawana mpango nayo.
Back
Top Bottom