Recent content by thelovechild

  1. thelovechild

    Maneno ya Nyerere yanayompa nguvu Magufuli kufanya anachofanya..

    Ni muhimu kufahamu mwalimu aliyaongea haya katika kipindi (mwaka) gani na tulikuwa tunaendesha nchi kwa kutumia mfumo gani wa kisiasa
  2. thelovechild

    Mechi saa 11 jioni, siku ya kazi Uwanja wajaa saa 6 mchana, chanzo ni ukosefu wa ajira?

    pelekeni baraka zenu huko. kila mtu anatafuta furaha yake anapojua mwenyewe. hamjatupa nyinyi hizo ajira. bodaboda, daladala tunaendesha wenyewe, umachinga tunafanya wenyewe, hizo kodi mnazokusanya kaleni na wake zenu hatuwapangii. tunafanya yetu na sisi msitupangie. #2020
  3. thelovechild

    Enough is enough, Magufuli amelisababishia taifa hili hasara ya kutosha kwa maamuzi ya kibabe!

    kusema mtu amekosea ndio kutetea wezi?? imewekwa hoja mezani na wewe toa hoja.
  4. thelovechild

    Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Hakuna cha kukanusha, acha na dunia ijue tuko kwenye hali gani. Na tunajua utawala huu si wa kusikiliza wananchi wanahitaji nini. Sisi ndio tupo mtaani, tunajua mahitaji yetu, leo hii hao wamekaa kwenye viti vyao wanajifanya hawasikii sauti zetu, hawaoni maumivu yetu na bila shaka hawaumizwi na...
  5. thelovechild

    Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

    Ungekuwa na vyeti pengine usingeandika haya.
  6. thelovechild

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    hahahahaha. Sina cheti cha kuzaliwa. Ningekuweka ndani. Nisamehe bure. Jaribu kwingine.
  7. thelovechild

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    hahahahahahaha pole sana. nakupa pole si kwakuwa unaumwa au umefiwa... pole kwa kuwa umeathirika na ugonjwa wa upungufu wa fikra akili mwako. wengi walio na ugonjwa kama wako wameanza kupata tiba. mjinga angenifunza vp kuandika?
  8. thelovechild

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    ni swala la muda tu. hamna jipya wajinga wakubwa nyie.
  9. thelovechild

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    usiejitambua ni wewe. Tena kaa vizuri nakusihi. kama umekosa la maana nenda chooni. maana nzi chake ni mavi tu.
  10. thelovechild

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    wewe ndio sio mzima. punguani mkubwa wewe na hao wenzio. tunashindwa kuona bunge live unatuletea barabara live ya kazi gani??? hiyo barabara tutaiona hata mwakani.
  11. thelovechild

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Nafananisha uwezo wako wa kufikiri na NZI WA CHOONI mwenye rangi ya KIJANI. 2020 utakuwa mwisho wa NZI WA KIJANI kama wewe na wote wenye akili kama zako.
  12. thelovechild

    Special Thread: Tundu Lissu for Tanganyika Law Society

    Kila la Kheri Tundu Lissu
  13. thelovechild

    We got your back Paul, we the good citizens of Dar es Salaam

    Tuondolee huu upuuzi wako hapo. Wewe sio mzungumzaji wa watu wa dar es salaam. Mahaba yako kwake hayazuii sheria kumuwajibisha
Back
Top Bottom