OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,627
- 120,129
Wakuu nakuja kwenu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana namleta kwenu wanasheria,mwanasheria na wakili nguli Tundu Antipas Lissu
Kama mnavyojua 18 March 2017 kutakuwa na uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society(japo kuna pingamizi mahakama). Moja kati ya wagombea wa kiti hicho cha urais ni Tundu Antipas Lissu,anayeonekana pichani hapo juu.
Historia ya Tundu Lissu kwenye tasnia ya sheria na uwakili inajulikana.
Malengo ya Tundu Lissu akiwa Rais wa TLS "is to make TLS great again". Mh.Lissu amepania kuifanya TLS ing'are na kuwa chama hai katika kutimiza malengo ya kuanzishwa kwake
Niwaombe Watanzania wote tumuombee ushindi Tundu Lissu aweze kuwa rais wa TLS. Niwaombe mwanachama wote wa TLS waone umuhimu wa Tundu Lissu kuwa Rais wao.
Kupitia uzi huu tutawasilisha na kujadili mchakato mzima wa uchaguzi wa TLS hususani katika mambo yanayomuhusu mgombea Tundu Lissu
Asanteni
CV ya Tundu Antipas Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Date of Birth: 20 January 1968
EDUCATION
Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School
Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School
Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.
University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree
University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT):Director of Researcher (2003 - 2008)
The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Researcher (1998 - 1999)
D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)
Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA:Director of Law (2004 - To Date)