Ukiangalia Mechi za CHAN ndio utangundua nchi hii mafisadi wanakula sana pesa bila Aibu. Giza limetawala sana hata majukwaa ya mashabiki hayaonekani vizuri. Ni kama vile Hatukuwa tumejipanga muda wote huo tuliopewa.
Uwanja ambao tumeambiwa umetumia Bilion 30 kwa marekebisho umejaa sana Giza...
Sekta ya Biashara ya nyumba na ujenzi zimeathirika sanaaa !!! Ukitaka kufahamu ili jaribu kuuza nyumba yako utapita picha kamili. Sio vitu vya kufurahia kabisa .
Kwa mtu kama mimi niliye na uzoefu wa miaka 5+ nikiwa na YouTube channels zaidi ya Sita, wanavyodai mtu ananunua views 8M+ huwa nacheka sana.
Njia pekee ya kununua views YouTube ni through YouTube promotions kama wanavyofanya Coke Studio, Tigo, Vodacom Nk, Na ni gharama sanaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.