Rais Magufuli anadai kuwa AMESIKITISHWA NA TUKIO HILO....
Rais Magufuli ningependa atoe AMRI Kwa polisi waeleze RISASI ZA HEWANI zinageukaje ?.
NB,Ametumia mtandao wa twitter kutoa POLE (kama TRUMP )
Samahani wakuu wa ulinzi !
hivi majeshi yetu yana TEKNOLOJIA ambayo ipo SIRINI sana bila sisi kufahamu ?
kuna video nimeitazama ni ya muda mrefu,
wanajeshi wakipiga mazoezi makali PHYSICAL,wanapita kwenye TOPE,mara chini ya fensi,
lakini je kwa dunia ya BOMU LA NYUKLIA AU BOMU LA ATOMIKI...
unataka wafiche nini?
mbona wazungu wanaoweka wazi kuliko sisi wamefanikiwa nyanja zote?
cha msingi ni kutafuta pesa na watoto waishi kwa raha na amani!
NDUGU,
mimi sijui mambo ya sheria,hivyo nmeona hiyo video watu wakipgwa na kuvutwa vutwa na hao polisi .
je ni halali polisi kufanya hivyo ?
je nikishtaki atachukuliwa hatua ?
ndugu zangu SIASA tuwaachie wenye SIASA...!!
POLENI WOTE MLIOPATA CHA MOTO KINONDONI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.