Recent content by Thee

  1. T

    Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

    Mtaa Gani mzur Kwa Makaazi hapo MPANDA mc
  2. T

    Naomba kujuzwa fursa za biashara Wilayani Momba kwa mtaji wa milioni 7

    Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo 1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi. 2. Fursa za KIBIASHARA 3. Hali ya...
  3. T

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Hivi momba DC FURSA zipoje
  4. T

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Halmashauri gani zuri KUISHI mkoa wa songwe haswa vijijini ,vilivyochangamka
  5. T

    Tuliambiwa Mama atasema Jambo Nyongeza ya Mishahara, Hadi Leo Bado Tu hilo Jambo Jamani!

    Amesha sema kiana ,maana kuna waraka ulitoka ukiwa na ruhusa ya kuwaapandisha daraja wote wanaostahili ,hili litasaidia kupunguza ukali wa maisha
  6. T

    Kati ya Manispaa ya Kahama na Manispaa ya Mpanda na Nzega TC wapi pazuri kuishi kutafuta maisha?

    Target zaidi natamani Biashara ya mazao na Biashara ya za mishe mishe yenye Mzunguko wa pesa, sehemu yenye GHARAMA ndogo ya maisha
  7. T

    Kati ya Manispaa ya Kahama na Manispaa ya Mpanda na Nzega TC wapi pazuri kuishi kutafuta maisha?

    Nahitaji ushaur wenu wakuu ,bado nasubir Kati KAHAMA MC,MPANDA MC,NZEGA TC wapi Pako na Mzunguko wa pesa
  8. T

    Fursa kwa watumishi wa Umma

    Watumishi ni nani Atalogeka na hawa WAHUNI ,WEZI, hawa ni Balaa la RIBA ni zaidi BALAA hivi na hawa ni Bank au nini nyie ni Takataka la kuchakaza watumishi wa umma Kwa Riba za juu na masharti magumu ya Riba ,,, Jamani watumishi wapuuzeni hawa Riba zao ni Balaaa,,,utajuta na kufa Kwa mawazo...
  9. T

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Viongozi wetu wa kiafrika tatizo wanapenda MAISHA ya Juu wakati raia wao waki suffer na kuteseka, sera mbovu na kujilimbikizia mali na Rushwa niJanga Africa,
  10. T

    Kati ya Manispaa ya Kahama na Manispaa ya Mpanda na Nzega TC wapi pazuri kuishi kutafuta maisha?

    Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo haya tafadhali KWA unyenyekevu mkubwa naombeni ushauri. Pamoja ya kuwa ni mwajiriwa pia...
  11. T

    Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

    Maana health officer amesoma health environmental health services ,
  12. T

    Kozi ya Safety and Occupation Health ngazi ya Shahada inatolewa chuo gani?

    Hii kozi huku halmashauri unaajiriwa kama nani eti
Back
Top Bottom