Recent content by theDon c

  1. theDon c

    GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    Kaka upo .. kitambo sanaa offcouse kumechangamka but Samia anaenda kua Raisi Haipingiki
  2. theDon c

    Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

    HAYA FUNGIENI KANISA LA ROMA SASA KAMA KWELI NYIE VIDUME .. GWAJIMA KAKEMEA UTEKAJI MMEFUNGIA FUNGIENI NA ROMA KUCHANGAMKE VIZURI. NIKO PALEEE
  3. theDon c

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    Je unamfikisha Kileleni?(kumjojoza?) Coz according to my experience mwanamke akifika Kileleni hataki tena
  4. theDon c

    Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

    Mzee kwa iyo hii inakusaidia Hamasaki kwa muda ukihitaji tendo tu kwa hayo masaa uliosema after that tatizo linabakia pale pale I mean haitibu tatizo permanently
  5. theDon c

    Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Nshatapeliwa za kibabe kama mara 3 hivi ila huu utapeli wa mwisho ulimuhisha askari police dah kumbe adi maaskari police wanahusika katika utapeli
  6. theDon c

    Mashimo ya Choo yasiyojaa ni kama yako Over-Charged hivi

    Kaka naomba connection na uyo fundi wako tuyajenge
  7. theDon c

    Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Niseme tu Mungu ana maajabu yake namipango yange ambayo akili za kibinadam hatuwez kugundua ni suala la muda tu giza likizidi sana jua kumekaribia kupambazuka
Back
Top Bottom