Recent content by TheDek

  1. TheDek

    Video za ngono zinazovujishwa kila wakati zimekuwa kero sasa

    Mkuu nitumie hako ka connection
  2. TheDek

    Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

    Any way let's wait and see number don lies....
  3. TheDek

    Mwanza hii ni aibu

    Ndio maana huijui vzur Mwanza itakuwa ulipitishwa kwenye uchafu....Sasa una siku nne zoezi la usafi limeanza lini? Maana sio rahisi kusafsha mazingra kwa siku moja? Taa za barabaran unaongelea njia ipi?
  4. TheDek

    Mwanza hii ni aibu

    Wakati umeona uchafu ulitoa taarfa wapi au ulifanya juhudi gani?
  5. TheDek

    Mwanza hii ni aibu

    Wewe ushachukua hatua gani? Au na wewe umesema baada ya kuona Mama yetu anakuja? #kazinaiendelee
  6. TheDek

    Kwanini Chato isinyang'anywe kila kitu?Inapaswa kubaki kuwa kijiji ili tukomeshe ukabila wao

    Mkuu umeandika kama unakimbia alafu kama una jaziba Sana ebu tulia tueleze vzuri shida nini na unapatikana wapi?
  7. TheDek

    Uhaba wa walimu nchini sasa ni historia, shule za Serikali zafurika Walimu wanaojitolea

    Yan mkuu unasema wajitolee alafu wao wanakula wapi
  8. TheDek

    Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    M2 kwa Dar tafuta nafasi k/koo uza matunda au ma boksi utanishukuru baadae.
  9. TheDek

    Nipo Mafinga naenda Makambako, tafadhali nielekeze gesti ya bei nafuu

    Mkuu mbona hapo makambako stendi Pana kesha hadi asubuh kikubwa ukate tu ticket ya kurud kssho ... hpo kuna moto saf na story nzur tu utalala kwenye gari kesho
  10. TheDek

    Tanzania kuna natural hot springs ngapi?

    Manyara ipo na YouTube imeongelewa sana
Back
Top Bottom