Recent content by theChinga

  1. theChinga

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kibiti, mkuranga, ikwilili yapo ya kutosha. Npange tu
  2. theChinga

    JamiiForums Tanzania Mikosi au wakati wetu haujafika?

    [emoji2][emoji2] af kwa kuwa ulikuwa kipanga darasan, ukafaulu kila unaekutana nae anajua una bonge la kaz pahara lazma aulize, wengine masnich tu anajua kila kitu bt anakuuliza makusud akutibue. Mie naamin kufanikiwa kupo tu, Kama sio leo kesho. Mie nmekuwa nkipata Hera tatzo haztunzik, zkija...
  3. theChinga

    JamiiForums Tanzania Nyanya ipi hybrid isiyo na bei gali lakini inafanya vizuri shambani?

    Tafuta malkia F1, kutoka EAseeds gm 10 - 25000, au shujaa F1 ya EAseeds pia, grm 10 - 4500. Bawito pia.
  4. theChinga

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Wanauzaje, katika package gan mkuu.
  5. theChinga

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    Mayai hapana ndg.. zenji kuna wafugaji wa kuku had vijijin kabisa msee.. wanafuga hao layer kwa wingi.. may be ya kienyeji. Vitunguu, nyanya, mabonga ni deal sana mzee sema kuna misimu yake, hasa mwez wa 11 wa 6 kwa nyanya na vtunguu, maboga peleka kipnd cha ramadhan utakuja nshukuru.
  6. theChinga

    JamiiForums Tanzania Kilimo Bora cha Maboga

    Acha ushamba wewe!.. hakuna zao lenye pesa pwan na znzbr kama maboga hasa kipnd cha ramadhan. Boga moja mwanakwerekwe linafkaga had 12000. Dadeq
  7. theChinga

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Gamahr f1 n nzuri kaka, inazaa sana. Hautajuta japo ni bei sana inauzwa kwa punje.
  8. theChinga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Kuku shamba Wana range 5000 - 14 kwa tabora ( japo nna miaka mi 2 sshughulik na hiz issue, yaan hyo 14 n jogoo kubwa la kuuza had 28. Singida wanaenda had 18 (kwa manyon mnadan) dodoma pia almost 16.
  9. theChinga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Nenda siku ya mnada, kuna wale wafanya biashara wanaotoaga vijijin wewe ndio utaongea nae, huwaga wanauzaga kwa jumla sasa anaweza kukupiga coz atakuchomekea na vidogo vdogo ambavyo utavinunua kwa bei ya juu, sasa wewe mwambie mi nataka ku sot utaje bei yako. Unaweza ukajitega sehem ukawa...
  10. theChinga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Tanga kuku wanapatikana handeni, ni wazuri pia jitahid ku point kuku wakubwa, usiogope hata wakisimamia 14 - 15 watakulipa tu coz utauza 20 - 30. Kwa kuanza unaweza changanya na wadogo ziwe znasimamia 10-13 coz utakuwa na changamoto ya wateja mwanzon. Bt kuku wakubwa wanapendwa sana.
  11. theChinga

    JamiiForums Tanzania Mbinu zipi zinaweza kutumika kudhibiti uharibifu unaofanya Nguruwe Pori?

    Kuna sehem wanalindia redio yaan ikifika usiku unafungulia bufa yenye , audio za saut za mbwa.
  12. theChinga

    JamiiForums Tanzania Mbinu zipi zinaweza kutumika kudhibiti uharibifu unaofanya Nguruwe Pori?

    Warthog ni ngiri... Kuna wild pig wanafanana na nguruwe wa kufugwa vile vile yaan.
  13. theChinga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Tafuta Banda lako mwenyewe sehemu ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then eit akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu. Ni biashara nzur sana hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50...
  14. theChinga

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara /kilimo mtaji 400,000/=

    Uza mtumba hautajuta.
Back
Top Bottom