Recent content by theblaze

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Kimsingi eneo lote la stendi ndogo linahitaji uwekezaji mpya. New structural design ya majengo ya kisasa ya biashara ya ghorofa. Ikiwezekana mradi ujumuishe eneo lote mpaka makaburi ya zamani. At least fremu ziongezeke kutoka 400 mpaka hata 2500 hivi ku accommodate biashara nyingi zaidi ili...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

    kama huu ndio mtazamo wa expert member kazi ipo .. Una maono hafifu mkuu katika siasa za Africa na Pan Africanism
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

    Mandela Mandela mtoe kwenye hili kundi .. at last he dropped the struggle, surrendered and used by white monopoly.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuwa wewe ni kila kitu na kila mtu

    Falsafa ya huu Uzi ni ngumu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

    Chid ana character ngumu sana to be helped .. ashasaidiwa sanaila tabia ngumu hafai!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na BoT, mnashindwaje kuwabaini wanaokopesha mitandaoni(digital lending) wakati wanatumia menu za mitandao ya simu kulipwa hela zao?

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  7. T

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Iwashughulikie Wakopeshaji wa Mtandaoni Wanaodhalilisha Wateja Wao Kwa Kusambaza Taarifa Binafsi Kwa Wasiohusika

  8. T

  9. T

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi za mikopo zinazodhalilisha watu ikiwemo kutuma ujumbe kwa ndugu

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Application za mikopo onine: Wapinzani tupieni macho hili jambo, huenda ni biashara ya vigogo serikalini na inaweza kuja kuwa kashfa kubwa

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

    Ukahaba uko tangu enzi kabla hata Yesu hajaja duniani
Back
Top Bottom