Recent content by theamaniplace

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Achana na rufaa ndugu. Nenda mhimbili. Haya ni maisha ya mwanao. Jiongeze pls
  2. T

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku taa za mwanga mkali kwenye magari

    Mi situmii hizo taa. Ila Ishu isiwe kuzipiga marufuku bali kuelimisha matumizi. Zile taa kwa porini ni safi sana ila sio mahali popote tu unawasha. Kuzipiga marufuku naona kuna uelewa hasi juu ya kuwepo LED. Taa za range ni LED na ukipigwa full light ni sawa tu na hizo tajwa. Maoni tu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

    Watu hawa zawadi wanakuja na tray la mayai
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

    Kaka nnaimani wewe sio shemasi
Back
Top Bottom