Recent content by The_truth

  1. T

    JamiiForums Tanzania There is no trust between both of them: See this photo that got people talking (Screenshots)

    What if trust is fading, or you've noticed something you want to investigate?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Ukiikosoa ccm ukanuniwa na chadema basi kuna shida hapo. Akili zako zinakutosha mwenyewe. Usizilete huku kwa Great thinkers
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wana uwezo mdogo wa kupambanua mambo ya msingi

    Naona Lissu anawasumbua sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

    Naona leo kila post upo, harafu hata hutumii akili. Unakurupuka tu yaani
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na TAKUKURU zuieni kampeni hizi zisizo rasmi wakati huu

    Umejitahidi kumjibu. Pata pepsi baridi hapo ulipo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wangu katika ufunguzi wa kampeni wa vyama vikuu vitatu, CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo

    Yaa wengi wameenda shule ila walioelimika wachache sana. Huu ni uchambuzi wa mtu aliyeenda shule ila si msomi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

    Unadhani wote tunafikiri. Wengine wanawaza.
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na NEC mtanzikoni

    We jamaa wewe....
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    Leta hoja, watu wanabishana kwa hoja.
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    Umeitendea haki "home of great thinkers". You make jamiiforums alive. Hongera sana
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    Japo hatukuzidi wewe matatizo. Kama hamumuogopi mbona mna panic sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

    Jamaa umewaza vizuri sana. Kuna haja ya watu kujitathmini humu kama wanafaa kuendelea kuwepo au waende fb.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wasafiri: Tujuzane yanayojiri tuwapo safarini

    Mi sipendagi ma movie yao na mamiziki. Kelele mwanzo mwisho.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Part 4: TISS bado safari ngumu

    Ila wewe nimekutana na comments zako kadhaa unaonekana una shida. Kila kitu ni kupinga. Kibaya huna point hata za maana. Kweli kilamtu hutoa alicho nacho...
Back
Top Bottom