Recent content by the_director

  1. the_director

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhar

    Umebadili kwenda iOS ngapi?
  2. the_director

    JamiiForums Tanzania Uza~Nunua chochote.....Toa na kupokea wazo la kibiashara kupitia whatsapp

    Ni add tafadhali 0659 114027
  3. the_director

    JamiiForums Tanzania Kubebana ni kitu gani?

    Kubeba si lazima, nimekaa rum moja na wadau ambao hawajataka kubeba na hawakubeba. Ni maamuzi yako tu!
  4. the_director

    JamiiForums Tanzania Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

    Huyu hajielewi... Mbona Joh Makini katoa nyimbo ya I See Me na bado inakimbiza sokoni? Mbona anapewa shavu hadi Coke studio af unakurupuka eti anasafiria nyota ya weusi.... Ntarudi baadae na mimi kumalizia kusoma
  5. the_director

    JamiiForums Tanzania TBT, Rais Kikwete katika pozi

    Rais Kikwete (katikati)
  6. the_director

    JamiiForums Tanzania #TBT. Nimeshindwa kuwatambua; labda kama wewe unaweza.

  7. the_director

    JamiiForums Tanzania Natafuta MacBook Air Used

    Habari wana JF, natafuta MacBook Air 13'. Bajet yangu ni 900,000. Ikikosekana basi hata MacBook Pro tunaweza kuongea.
  8. the_director

    JamiiForums Tanzania TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

    Hahaha
  9. the_director

    JamiiForums Tanzania TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

    Laki mbili na nusu mbna nyingi tu. Ni kujipanga. Work experience is all needed for now
  10. the_director

    JamiiForums Tanzania Order ya ps2 inatafutwa pieces 10 kuendelea

    Wakuu, izo ps ni used au mpya? Na je, naweza kupata ps3 kwa bei gani?
  11. the_director

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Hahaha.... Ili tangazo ni nowmer
  12. the_director

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Hili si tangazo. Its real
  13. the_director

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Akipelekwa mahakamani leo.
  14. the_director

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Hadi akihukumiwa wataendelea kusema ni matangazo.
  15. the_director

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Kesi ya Kibonde inatarajia kusikilizwa leo katika mahakama ya Kinondoni. Tayari ameshawasili na amepelekwa chumba cha mahabusu kusubiri muda wake kufika. More updates to follow.... =================================== (Ephraim Kibonde na Gadner G Habash...
Back
Top Bottom