Recent content by The622

  1. The622

    Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    Ukihakiki unakuwa salama zaidi hasa kwenye ajira hzi za serikali
  2. The622

    Natafuta bajaj ya mkataba (Ubungo na Maeneo ya Jirani)

    Pole sana kwa kuuguza Mungu aendelee kukusimamia. Hongera kwa kuwa wazi na kujieleza vema ,Maombi yangu kwako Mungu na azidi kukutangulia katika shughuli zako na akufungulie kwenye hitajio hili ulikamilishe.
  3. The622

    MSAADA: Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira Bugando Medical Centre, March 2025

    Mkuu una option mbilu,Peleka posta kwa EMS au mtu akupelekee Bugando. Fanya maamuzi haraka muda umeisha huo.
  4. The622

    Pita hapa tujikumbushe Tv series zilizotamba

    Mkuu Sunset beach ndio my first series Enz hzo bila kuoga uingii nyumba ya mtu
  5. The622

    Ombi la Kibarua – Niko Tayari Kufanya Kazi

    Mkuu siwajui ila Kuna naomba Yao Hawa jamaa unaweza watafuta kupata utaratibu zaidi ni kampuni ya Ulinzi
  6. The622

    Natafuta kazi yoyote halali

    Mkuu naomba uwatafute Hawa jamaa.
  7. The622

    Naomba Mchango wenu wa mawazo kwenye hili jambo

    Mkuu, Rudi kwenye lengo lako au sababu ya nini kilikufanya hata ukaenda kufanya interview kwingine ilihali una kazi tayari, Ukishajua unapaswa kukumbuka mwisho wa siku ni wewe ndio mwenye kuyashuhudia matokeo yeyote utakayoyaamua kwa sababu umeyaishi vema mazingira yako na unajua mazuri na...
  8. The622

    Hii hali inaniumiza sana

    Mkuu Habari , Kwanza pole sana kwa yale unayopitia na pia nikupongeze kwa ujasiri wa kutushirikisha katika jukwaa hili. Tambua kuwa kitendo cha kushirikisha ni njia mojawapo ya kuondoa yanayosumbua moyo. Kabla ya kusema chochote ,Napenda nijue tukio la usaliti lilitokea lini na hadi...
  9. The622

    Kutamani Pombe muda wa kazi

    Mkuu Bado una nafasi ya kuacha , Jitahidi kupunguza taratibu kwani hatua uliyonayo ni vizuti kujipongeza. Ili uache unapaswa kuamua mwenyewe kwa kusema na nafsi yako,Hasa kwa kutazama ni jinsi gani inakunufaisha au kukwamisha yale ambayo ni ya muhimu kwako. Jisamehe, Jisamehe juu ya yote...
  10. The622

    Ulishawahi kukumbwa na hii hali?

    Cha kwanza ni kukubali kuwa wewe ndio Unapitia hali hiyo Cha pili ni kuwekekeza nguvu nyingi kwenye kuishi MAISHA YAKO na si maisha ya wengine. Siku zote jilinganishe na wewe mwenyewe ulivokua jana ,leo na jinsi gani utakuwa bora wa kesho. Tatu ,Ikiwezekana jipe muda kwa kujitoa kwenye...
  11. The622

    Fuata sana kanuni hii ili uweze kulinda penzi lako

    Habari Wakuu, Kila mmoja anatafuta nini afanye kudumu kwenye penzi haijalishi ni ndoa au mahusiano ya kawaida. Ukweli ambao inawezekana hatuujui ni kuwa ,HAKUNA kanuni maalum ya kulinda penzi lako ila tu ile ambayo utajipangia mwenyewe. Asikudanganye mtu anavoishi na mkewe au mumewe eti nawe...
  12. The622

    Chuo cha Udereva.

    By 2022 ilikuwa 270000 kwa masomo ya mwezi mmoja. Sijui kwa sasa ,Ila ni vema kufika na kujua gharama halisi.
  13. The622

    Chuo cha Udereva.

    Kuna chuo Mwenge hapo kinaitwa Victory ni wakongwe na unaweza chagua muda ambao kwako ni rafiki kwenda ikiwa ni asubuh sana au jioni shukia kituo kinaitwa Lufungila. Kuhusu leseni ,Ukikamilisha mafunzo yako utaelekezwa vizuri kabisa hapo chuoni nini ufanye.
Back
Top Bottom