Hovyo kabisa!
Kwa hiyo mjikusanye conference room wiki nzima mkiokota posho just kujadili kama bei ya ku-repair hizo remote ipunguzwe au isipunguzwe?hilo si jambo la kuamua mkurugenzi tu hilo ndani ya sekunde mambo yanabadilika?
Kwa mujibu wa mzee Mohamed Said sasa hivi waislam waliosoma wapo wengi sana nchi hii kwanini wasitafutwe walipo wakachukua jukumu la kuyafanya haya yote?
Wakati mwengine binti wa kazi alikuwa anaishi nae kwa shida shida hivyo hivyo tu akichukulia hali ya nyumbani umaskini akaona bora kuvumilia muhimu anatuma hela ya dawa za mama na ada za wadogo zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.